MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Kizungu ni kizungumkuti to our southern neighbours. Kwani umesahau? Hii part ndio hajaelewa: will drive the best private schools back to the drawing board. Hiyo part ya "back to the drawing board" ndio hajaelewa hata zaidi 😂 😂
Wanyonge wenzangu, bei ya Saruji huko kwenu ipo vipi?
Wanyonge wenzangu huko mkoa uliopo bei ya cement ikoje? Mimi huku nilipo Cement ya dangote 23000/mfuko na twiga ni 25000/mfuko. Bei ya Dangote kutoka 18500 mkapa 23000. Mnyonge mnyongeni lakini mnyonge kabisa. Soma: Serikali iruhusu kuingiza saruji kutoka nje ==== Bei saruji haishikiki 09 NOV...