Goli alilofungwa kipa wa Simba dhidi ya Lipuli sio la kufungwa kabisa

Koryo2

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2016
Posts
2,056
Reaction score
2,519
Simba jana ilicheza kandanda safi sana dhidi ya Lipuli kwa muda wote wa mchezo. Nawashauri Simba kuwa waanze kumtafuta kipa badala ya Manula. Lile goli la jana siyo goli la kufungwa kipa kama Manula. Dosari kubwa la Manula ni kimo chake. Manula ni mfupi kwa kimo na kwa goli la jana kama kipa angekuwa ni kipa mrefu lile goli lisingeingia kwenye nyavu. Simba tafuteni kipa mrefu na mahiri hasa wakati huu wa dirisha dogo.
 
Daaa shabiki wa soka inabd wakati mwingine ujitoe ufahamu
Leo Manula amekua mbaya kwenu tena hebu achen utani.
Kuna mipira ni ngumu sana kipa kudaka,mipira ya vichwa na Faulo,kwanza Timing na Spidi ya mpira Kimo Sio sababu mbona Kaseja sio mrefu kivile lakin alikua hatari kwa mipira ya kila aina.

Ndo ile nani atamfunga paka kengele?mkubali matokeo mtani.
 
kabla ya kuzungumzia kuhusu manula mjadala uaanzie kwenye suala la simba kushindwa kufunga magoli mengi kama ilivyokuwa mechi za mwanzo wa ligi. goli la jana ukuta wa simba haukufanya jukumu la kuzuia ule mpira kosa sio la kipa pale zaidizaidi angestahili pongezi kama angeokoa ule mchomo. haya ndio madhara ya haji manara kuwajaza matumaini makubwa kuzidi ukweli wenyewe wa mambo.
 
Simba jana ilicheza kandanda safi sana dhidi ya Lipuli kwa muda wote wa mchezo. Nawashauri Simba kuwa waanze kumtafuta kipa badala ya Manula. Lile goli la jana siyo goli la kufungwa kipa kama Manula. Dosari kubwa la Manula ni kimo chake. Manula ni mfupi kwa kimo na kwa goli la jana kama kipa angekuwa ni kipa mrefu lile goli lisingeingia kwenye nyavu. Simba tafuteni kipa mrefu na mahiri hasa wakati huu wa dirisha dogo.
Hebu tupia kapicha kwanza nione kabla cjaandika chochote
 
Simba jana ilicheza kandanda safi sana dhidi ya Lipuli kwa muda wote wa mchezo. Nawashauri Simba kuwa waanze kumtafuta kipa badala ya Manula. Lile goli la jana siyo goli la kufungwa kipa kama Manula. Dosari kubwa la Manula ni kimo chake. Manula ni mfupi kwa kimo na kwa goli la jana kama kipa angekuwa ni kipa mrefu lile goli lisingeingia kwenye nyavu. Simba tafuteni kipa mrefu na mahiri hasa wakati huu wa dirisha dogo.
duuh! Tanzania One leo ni mfupi?!
 
Huna point goli limefungwa upande wa ukuta wenye ukuta hawakuruka kipa angefanyaje
 
Wewe hujui mpira. Kwa gori lile huwezi kumlaumu Manula hata kidogo. Hata Buffon asingezuia
 
Tatizo ni uboya wa Manula au uzuri wa mpigaji?
Siku zote tunasahau kwamba mkimbiaji ana respond kwa mfukuzaji
 
Back
Top Bottom