Goli kama hili wenzenu hawqakuvunja viti ...

jangala

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2014
Posts
1,583
Reaction score
2,365
Messi alifunga bao kama hilo...kipi kipya?
 
Ingawa siungi mkono uharibifu uliofanyika Taifa, utake ukatae, Huku kwetu ushindi unanunulika, na waamuzi nao huwa wananunulika. Kwa wenzetu kosa huwa kosa kweli sio la kukusudia, huku kwetu ni ngumu kujua kakusudia au bahati mbaya, hasa ukiangalia Pesa+ mapenzi na timu.

Ivi siku hizi siwasikii rafiki zangu Jese Erasmo, na Methew Akrama, mwenye taarifa na hawa waamuzi tafadhari.
 
Nashukuru sana kwa kulitambua hilo..
 
Ivi>>>>>>>>>>>>Hivi

Unaweza ukawa na hoja...ni kweli rushwa ipo kwenye soka na siyo Tanzania au Afrika tu bali ni dunia nzima....lakini yapo pia makosa ya kibinadamu kwa marefa...kama lile goli la Tambwe, madaraka selemani, Maradona, Thiery Henry, Lionel messi na kadhalika...Kuna namna nyingi kwa mwamzi kupendelea kutokana na rushwa...kama kutoa au kutotoa penalty...kupuliza filimbi kwa offsides 'hewa', kutoa redcard kwa kosa dogo au unaweza ukatoa yellow cards mbili kwa makosa ya kawaida tu....na kadhalika na kadhalika...Hata huko Worl Cup mambo hayo yapo....Nazungumzia issue hii kutokana na uzoefu wangu katika masuala ya soka na utafiti....
 
Hapo pia watajifanya hawajakuelewa........''MSUKUMA AKIJA DAR KUSHANGAA KIVUKO MNASEMA MSHAMBA...MZUNGU AKIJA DAR KUSHANGAA VIGODORO MNASEMA MTALII''...hayo ndo yanayowasumbua wana Msimbazi.
 
Sawa hawakuvunja viti inawezekana kuna uharibifu mwingine waliufanya lakini si umeuona huo mzozo hapo uwanjani refa kawekwa mtu kati
 
Refa alikataa goli la wazi la Ibrahim Ajib mbona hamtakia kulisema, vipi kadi ya Mkude iliyofutwa mbona nayo hamtaki kuisema? Katika mpira kuna kuteleza kwa waamuzi na ni mambo ya kawaida lakini kitendo cha kufanya maamuzi mabovu matatu tena yote yanalalia upende mmoja kinaleta maswali mengi kuliko majibu.
 
Bora nanyi mngemuweka refa mtu kati..nyie mlifanya yote kwa mpigo.
Mbona hutaki kulizungumzia hili
1475732087318.jpg
kulikataa goli la simba na kulikubali goli la netball la Yanga, huoni kama ndo vilichangia vurugu?
 
Ivi>>>>>>>>>>>>Hivi

Unaweza ukawa na hoja...ni kweli rushwa ipo kwenye soka na siyo Tanzania au Afrika tu bali ni dunia nzima....lakini yapo pia makosa ya kibinadamu kwa marefa...kama lile goli la Tambwe, madaraka selemani, Maradona, Thiery Henry, Lionel messi na kadhalika...Kuna namna nyingi kwa mwamzi kupendelea kutokana na rushwa...kama kutoa au kutotoa penalty...kupuliza filimbi kwa offsides 'hewa', kutoa redcard kwa kosa dogo au unaweza ukatoa yellow cards mbili kwa makosa ya kawaida tu....na kadhalika na kadhalika...Hata huko Worl Cup mambo hayo yapo....Nazungumzia issue hii kutokana na uzoefu wangu katika masuala ya soka na utafiti....
Ukiwa na tabia ya wizi, mtaani ukitokea wizi mtu wa kwanza kuzania ni wewe mwenye tabia hiyo, hatakama hukuiba wewe. Mpira wetu huwezi linganisha na ulaya hata kidogo, hapa kwetu figisu figisu zinaratibiwa chama cha soka chenyewe, nadhani umesikia makocho wengi wanavyolia na marefa wetu, mwisho niwakumbushe kwa ujumbe usemao, Tenda haki upate amani.
 
Uwezi kuharalisha upuuzi kwa upuuzi... Kwa hiyo unataka na simba nao watoe reference ya nchi zilizovunja vitii kuharalisha upuuzi walioufanya.!!tafuta mfano mwingine huo wako unachochea vurugu tu and by the way inategemea goli la mkono linafungwa wakati gani na mechi gani.we u nadhani hapa bongo tambwe ndo wa kwanza kufungua goli la mkono,??na je viti vilivunjwa!?
 
YANGA Mboni nyie MLIVUNJA VITI mechi yenu Na COASTAL UNION ya Tanga Hatukusema?
 
Back
Top Bottom