Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashukuru sana kwa kulitambua hilo..Ingawa siungi mkono uharibifu uliofanyika Taifa, utake ukatae, Huku kwetu ushindi unanunulika, na waamuzi nao huwa wananunulika. Kwa wenzetu kosa huwa kosa kweli sio la kukusudia, huku kwetu ni ngumu kujua kakusudia au bahati mbaya, hasa ukiangalia Pesa+ mapenzi na timu.
Ivi siku hizi siwasikii rafiki zangu Jese Erasmo, na Methew Akrama, mwenye taarifa na hawa waamuzi tafadhari.
Ingawa siungi mkono uharibifu uliofanyika Taifa, utake ukatae, Huku kwetu ushindi unanunulika, na waamuzi nao huwa wananunulika. Kwa wenzetu kosa huwa kosa kweli sio la kukusudia, huku kwetu ni ngumu kujua kakusudia au bahati mbaya, hasa ukiangalia Pesa+ mapenzi na timu.
Ivi siku hizi siwasikii rafiki zangu Jese Erasmo, na Methew Akrama, mwenye taarifa na hawa waamuzi tafadhari.
Hapo pia watajifanya hawajakuelewa........''MSUKUMA AKIJA DAR KUSHANGAA KIVUKO MNASEMA MSHAMBA...MZUNGU AKIJA DAR KUSHANGAA VIGODORO MNASEMA MTALII''...hayo ndo yanayowasumbua wana Msimbazi.Ivi>>>>>>>>>>>>Hivi
Unaweza ukawa na hoja...ni kweli rushwa ipo kwenye soka na siyo Tanzania au Afrika tu bali ni dunia nzima....lakini yapo pia makosa ya kibinadamu kwa marefa...kama lile goli la Tambwe, madaraka selemani, Maradona, Thiery Henry, Lionel messi na kadhalika...Kuna namna nyingi kwa mwamzi kupendelea kutokana na rushwa...kama kutoa au kutotoa penalty...kupuliza filimbi kwa offsides 'hewa', kutoa redcard kwa kosa dogo au unaweza ukatoa yellow cards mbili kwa makosa ya kawaida tu....na kadhalika na kadhalika...Hata huko Worl Cup mambo hayo yapo....Nazungumzia issue hii kutokana na uzoefu wangu katika masuala ya soka na utafiti....
Kibongo bongo hizi simba na yanga hazijalibiwiBora nanyi mngemuweka refa mtu kati..nyie mlifanya yote kwa mpigo.
Mbona hutaki kulizungumzia hiliBora nanyi mngemuweka refa mtu kati..nyie mlifanya yote kwa mpigo.
Ukiwa na tabia ya wizi, mtaani ukitokea wizi mtu wa kwanza kuzania ni wewe mwenye tabia hiyo, hatakama hukuiba wewe. Mpira wetu huwezi linganisha na ulaya hata kidogo, hapa kwetu figisu figisu zinaratibiwa chama cha soka chenyewe, nadhani umesikia makocho wengi wanavyolia na marefa wetu, mwisho niwakumbushe kwa ujumbe usemao, Tenda haki upate amani.Ivi>>>>>>>>>>>>Hivi