Goli la Ajibu unaweza kuchukulia mkopo bank yoyote ile duniani

Kwetu sisi alikuwa sub kwenu ni mchezaji bora so far, thats the difference between the clubs.
We jamaa inaonekana sio mtu wa mpira kabisa. Kwa hiyo kama Mo Salah pale Chelsea alikuwa anapigwa Sub halafu Liverpool ni panga pangua basi Chelsea ni kubwa kuliko Liverpool?!!

Kwa heshima kabisa toka mwaka 2018 uanze sijawahi soma content ya kipuuzi kama hii.
 
Pia unaweza kuomba na ukapata msamaha wa kodi kutoka kwa wachina bila kikwazo
 
Wengine wanasema goli la ajibu linatibu UTI,,,
Kuna mgonjwa alipelekwa hòspital yupo mapokezi akawa anaangalia mechi huku akisubiri zamu yake ya kumuona dokta baada ya ajibu kufunga mgonjwa alishangilia kisha akamwambia aliemsindikiza warudi nyumbani
 
ku
Dunia nyingne hata timu ya taifa lake hana nafasi tena nchi yenyewe Tanzania kweli kuna mchezaji?
kutoitwa kuna sababu nyingi mfano kuto endana na mfumo wa kocha, nidhamu mbovu (rejea wachezaji wa mikia fc)

ukimaliza shangaa ilo kashange pia giroud kutoka WC hana goli wala assist, short on target 1 off target 4 ila kabeba ndoo

ajibu kukosekana timu ya taifa ni jambo la kuhuzunika Tanzania nzima na dunia ya wapenda soka
 
hili goli kiukweli si la kulilipia mia 500 kibanda umiza ni kudharirisha vitu classic

imenibidi kumuongeza mwenye kibanda umiza 9500 kulillipia hili goli. yaani nilizoea yaona kwenye tv cr7, balle, rooney leo nimelishuhudia na tz
Lile bao tamu sana, utamu wake ulifikia kama lile alipiga Van Persie World Cup 2014 kule Brazil dhidi ya Spain.

Ilibidi niende Youtube FIFATV kujikumbushia lile bao.
 
Haahahahahahahahahah
 
Hahahaa. Nakosaje jamaani mie Yanga lia lia.

Sijambo Alhamdulillah sijui weye?
Mim niko poa namshkuru mungu.
Una ujasiri mkubwa kushabikia team za hapa kwenu,hem nishauri na mim angalau niweze japo kuskiza matokeo.
 
Tuhuzunike kwa lipi sasa wakati hata angeitwa angeishia kusugua uwezo wake kupambana katika mechi ngumu ni mdogo sana kocha nadhani ameligundua hilo mapema sana
 
Tuhuzunike kwa lipi sasa wakati hata angeitwa angeishia kusugua uwezo wake kupambana katika mechi ngumu ni mdogo sana kocha nadhani ameligundua hilo mapema sana
ukisema ajibu ana uwezo mdogo inafaa ukubali tz hakuna mwenye uwezo kabisa

kwa lile goli ingekua ulaya washabiki wangesimama mechi 14 mfululizo kumpa heshima Ajibu kila atakapo tua maguu kwa kiwanja.

sema ww na wenzio roho za kwa nini, mbona mie nakubali kagere ni bingwa wa kutandika makofi uwanja
 
Anza wewe kusimama mkuu kumpa heshima kila akitua uwanjani, wenye uwezo wapo wengi tu Tanzania muulize wenzake wakina Samatta,Msuva wapo wapi au tuamini yeye umri bado?
 
Kwa lile goli hata wangekuwa makipa watatu wasingeweza kudaka na kama yule kipa angedaka lazima puru lingemtoka
 
Reference yako ni too childish, Simba Ajib alikuwa sub na bado akiwa Yanga ameshindwa kucheza mpira vs Simba cos alikutana na viungo bora kuliko yeye.
Kocha wa taifa alitaka amuone kwenye mechi.competitive kama ile ya Simba, jamaa yako akafichwa halafu leo unanipa reference za Chelsea na Liverpool. Unaijua Chelsea na Liverpool wewe.
 
Hahaaaa. Ngoja waje na povu Mkuu.
Tumekuja na tunasema hivi..

Magoli kama yale mbona yanafungwa sana?? Au Mkuu Jindal Singh umeanza kuangalia mpira jumapili?? Juzi juzi Chilunda alifunga bao sio kama lile bali ni bora zaidi ya lile.
Achana na Chilunda, Baba CR7 anafunga kama yale, mwanae CR7 Jr nae anafunga kama hayo.. Mimi sembo nilifunga magoli mengi sana ya hivyo enzi zangu.. Na sasa mwanangu Shaffih, si kwamba eti mpaka umpe nafasi ndo afunge (kama ajibu) yeye hata akiwa katikati ya msitu mnene wa mabeki ndo magoli yake hayo shuleni kwao.
 
Goli la Ronaldo never hit the bar ajib goli yake imegonga bar ya juu (angled) nakuvuka goal line hili bao bado ni best wakati wote. Goli hili litakuja kufifia labda pawepo na tukio lingine mfano World cup ichezwe Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…