magnifico
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 11,075
- 24,634
We jamaa inaonekana sio mtu wa mpira kabisa. Kwa hiyo kama Mo Salah pale Chelsea alikuwa anapigwa Sub halafu Liverpool ni panga pangua basi Chelsea ni kubwa kuliko Liverpool?!!Kwetu sisi alikuwa sub kwenu ni mchezaji bora so far, thats the difference between the clubs.
Kwa heshima kabisa toka mwaka 2018 uanze sijawahi soma content ya kipuuzi kama hii.