GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 60,660 Reaction score 121,325 Oct 9, 2018 #81 Jindal Singh said: Mkuu hivi upo timu gani vile? Click to expand... Maswali ya ' Kikuda / Kiuchokozi ' sitaki sawa?
Jindal Singh said: Mkuu hivi upo timu gani vile? Click to expand... Maswali ya ' Kikuda / Kiuchokozi ' sitaki sawa?
sembo JF-Expert Member Joined May 25, 2011 Posts 4,350 Reaction score 3,451 Oct 9, 2018 #82 Jindal Singh said: Goli la Ronaldo never hit the bar ajib goli yake imegonga bar ya juu (angled) nakuvuka goal line hili bao bado ni best wakati wote. Goli hili litakuja kufifia labda pawepo na tukio lingine mfano World cup ichezwe Tanzania. Click to expand... Kumbe utofauti ni kugonga Mwamba.. Sawa.
Jindal Singh said: Goli la Ronaldo never hit the bar ajib goli yake imegonga bar ya juu (angled) nakuvuka goal line hili bao bado ni best wakati wote. Goli hili litakuja kufifia labda pawepo na tukio lingine mfano World cup ichezwe Tanzania. Click to expand... Kumbe utofauti ni kugonga Mwamba.. Sawa.
Kamanda wa Kweli JF-Expert Member Joined Jul 13, 2014 Posts 1,448 Reaction score 845 Oct 9, 2018 #83 Kuna mmoja nikiona anasema "vile vizee vitavunjika nyonga eti", ila hakuvitaja. zipompa said: ulitaka awe na kagere ndo goli liwe kali, ajibu ni dunia nyingine huwezi mfananisha na kagere Click to expand...
Kuna mmoja nikiona anasema "vile vizee vitavunjika nyonga eti", ila hakuvitaja. zipompa said: ulitaka awe na kagere ndo goli liwe kali, ajibu ni dunia nyingine huwezi mfananisha na kagere Click to expand...
Kamanda wa Kweli JF-Expert Member Joined Jul 13, 2014 Posts 1,448 Reaction score 845 Oct 9, 2018 #84 [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] wilcoxon said: Hahaaa mkuu haki ya nani kagere akipiga hivyo basi itakuwa mwisho wake wa kucheza Click to expand...
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] wilcoxon said: Hahaaa mkuu haki ya nani kagere akipiga hivyo basi itakuwa mwisho wake wa kucheza Click to expand...