GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mkuu hivi upo timu gani vile?
Maswali ya ' Kikuda / Kiuchokozi ' sitaki sawa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hivi upo timu gani vile?
Kumbe utofauti ni kugonga Mwamba.. Sawa.Goli la Ronaldo never hit the bar ajib goli yake imegonga bar ya juu (angled) nakuvuka goal line hili bao bado ni best wakati wote. Goli hili litakuja kufifia labda pawepo na tukio lingine mfano World cup ichezwe Tanzania.
ulitaka awe na kagere ndo goli liwe kali, ajibu ni dunia nyingine huwezi mfananisha na kagere
Hahaaa mkuu haki ya nani kagere akipiga hivyo basi itakuwa mwisho wake wa kucheza