Goli la Chama linaizidi kwa mbali Goli la Puskat 2025

Goli la Chama linaizidi kwa mbali Goli la Puskat 2025

Goli ni zuri sana, litabaki kwenye kumbukumbu ya wapenda soka, na timu ijitahidi kufanya vizuri ili ifike mbali. Simba bado ina madhaifu isijifiche kwenye kichaka cha goli zuri wakasahau kurekebisha mapungufa ya klabu.
 
Tunampa Chama sifa kubwa tunamsahau aliyetoa pasi Mpanzu.
Ni goli ambalo linazunguka dunia nzima hadi CNN na BBC wamelitangaza
 
Back
Top Bottom