Goli la Chama linaizidi kwa mbali Goli la Puskat 2025

Goli la chama unaweza ombea mkopo benki,
Inaweza kutumika kama mahari.

Yote 9 kwa aina ya GOLI lile hata kama mwanamke ni tasa atashika mimba, hata umwagie nje, mimba uhakika
 
Goli ni zuri sana, litabaki kwenye kumbukumbu ya wapenda soka, na timu ijitahidi kufanya vizuri ili ifike mbali. Simba bado ina madhaifu isijifiche kwenye kichaka cha goli zuri wakasahau kurekebisha mapungufa ya klabu.
 
Tunampa Chama sifa kubwa tunamsahau aliyetoa pasi Mpanzu.
Ni goli ambalo linazunguka dunia nzima hadi CNN na BBC wamelitangaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…