Goli la Oliver Girlod lazua mjadala

Mkuu umenichekesha sana dah! Ungekuwa huna ajira nikuajiri uwe unacheza na wanangu.
 
Nipo home najaribu kulipigia mazoezi lakini nafeli..ok..nitajaribu na kesho mpaka nilipatie..khaaa... Hivi huyu Rick Ross..alifanyaje
 
Arsene Wenger: Olivier Giroud scorpion goal one of Arsenal manager's top five
 
hahaa hayo magoli yanaitwa magoli ya ng'e(scorpion goals); mbona yako mengi tu sema wewe unaweza kuwa mpenzi wa arsenal,,,

Ila ni aina ya magoli mazuri mana sithani kama unaweza kuyafanyia mazoezi mana magoli haya hutegemea mpira utakukuta kwenye mkao gani,,,

Ni aina ya magoli mazuri, hongera GIROUD
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Itabidi Arsenal wajipongeze tu na hili goli, maana hakuna ubingwa wala top 4 mwaka huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…