Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili goli la karne aisee
UpuuziKAULI WALIZOZIONGEA WATU MASHUHURI TOFAUTI KUHUSU GOAL LA GIROUD :
PELE : goal alilofunga Giroud halitafungwa tena kwenye karne hii.. Labda nikama tu Mungu atanirudisha mimi Pele kwenye umri wa miaka 17..
DIEGO COSTA : Baada ya kulitazama tu lile goal la Giroud.. Nikampigia Eden Hazard simu aje mazoezini.. Alipofika amenipigia krosi mipira elf 2 tena nikiwa bila kipa.. Nasema nikimuogopa Mungu. Nimeshindwa kufanya alichofanya Giroud..
LIONEL MESSI : Watu wanasema mimi ni kiumbe wa sayari nyingine.. Lakini baada ya kulitazama goal la Giroud.. Naanza kuamini, huenda Giroud tunatoka naye sayari moja..
MALKIA ELIZABETH : Kama kesho kusingekuwa na mechi za ligi kuu. Ningeamuru waziri mkuu atangaze iwe siku ya mapumziko.. Ili watu watulie majumbani mwao. Kuangalia marudio ya goal la Giroud..
CHRISTIANO RONALDO :. Kama Giroud angefunga hili goal kabla sijakabidhiwa Ballon dour.. Nisingethubutu kupata ujasiri wakuipokea ile tuzo..
ANTHONY LUSEKELO: Mungu amenijalia upako wa kutenda miujiza tofauti chini ya mbingu .. Lakini sio kama ile aliyoifanya Oliver Giroud.
HahahaaaNimelifanyia mazoezi nimeliweza
La Giroud halina harufu ya kuotea, na halichochei dhana ya kubahatisha.Na mkhitaryan asemeje.?