Goli la Oliver Girlod lazua mjadala

Goli la Oliver Girlod lazua mjadala

kwa jinsi goal lilivyokuwa tamu ilibidi flamini apige dub kabisa
 
KAULI WALIZOZIONGEA WATU MASHUHURI TOFAUTI KUHUSU GOAL LA GIROUD :

PELE : goal alilofunga Giroud halitafungwa tena kwenye karne hii.. Labda nikama tu Mungu atanirudisha mimi Pele kwenye umri wa miaka 17..

DIEGO COSTA : Baada ya kulitazama tu lile goal la Giroud.. Nikampigia Eden Hazard simu aje mazoezini.. Alipofika amenipigia krosi mipira elf 2 tena nikiwa bila kipa.. Nasema nikimuogopa Mungu. Nimeshindwa kufanya alichofanya Giroud..

LIONEL MESSI : Watu wanasema mimi ni kiumbe wa sayari nyingine.. Lakini baada ya kulitazama goal la Giroud.. Naanza kuamini, huenda Giroud tunatoka naye sayari moja..

MALKIA ELIZABETH : Kama kesho kusingekuwa na mechi za ligi kuu. Ningeamuru waziri mkuu atangaze iwe siku ya mapumziko.. Ili watu watulie majumbani mwao. Kuangalia marudio ya goal la Giroud..

CHRISTIANO RONALDO :. Kama Giroud angefunga hili goal kabla sijakabidhiwa Ballon dour.. Nisingethubutu kupata ujasiri wakuipokea ile tuzo..

ANTHONY LUSEKELO: Mungu amenijalia upako wa kutenda miujiza tofauti chini ya mbingu .. Lakini sio kama ile aliyoifanya Oliver Giroud.
Upuuzi
 
hayo ni mambo ya scorpion kick
Screen-Shot-2017-01-01-at-22.42.53.jpg


giroud2.jpg

mona saaaaana
 
Endeleni kushabikia magoli Wenzenu wanapigania kuchukua ubingwa
 
Kwa ulichoandika kuhusu Costa ni wazi kwamba ww ni shabiki wa Arsenal.
 




Hayo magoli yanafungwa mpaka third world countries...
Kuna scorpion hapo imefungwa takribani mita 30...
 
Mkuu umenichekesha sana dah! Ungekuwa huna ajira nikuajiri uwe unacheza na wanangu.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] haya bhana
 
Mzee wa upako kaua kabisa[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Back
Top Bottom