Pia kupatwa kwa tetemeko.Watanzania tuna bahati sana mwaka huu, juzi juzi kupatwa kwa mwezi kumetokea Tanzania, tena Mbeya, ambayo ni nadra sana kutokea duniani. Hata miezi miwili haijaisha goli la namna hiyo linatokea tena Tanzania! Mweee jobha, Apatwile Mwakajua!
Mashine yako imepinda?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamani watu waongo. Aisee MISIMBA miongo jamani. Yani goli limekuwa goli. Mbona watu tunapiga magoli kama hayo mengi tu kila siku kwa wake zetu
Huyo umemkomesha hawezi rudia tena kuleta maneno ya kibaladhuri!Mashine yako imepinda?
kama kupatwa kwa jua au?goli kama lile hutokea tena kila baada ya miaka 10 duniani kote.safari hii limepatikana TANZANIA
Manina wallah,nimecheka kinyama hapa ofisini[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]yanga kama LIPUMBA tu
na nyie Azam mnatia aibu sana, mechi ngapi mnapoteza?mna matatizo gani?Hhood mayanja alifunga dhidi ya azam kama LA kichuya.
Ni mchezaji wa African Lyon
Tutarudi kwenye form wakati nyie mkipoteana huko mikoanina nyie Azam mnatia aibu sana, mechi ngapi mnapoteza?mna matatizo gani?
haswaaakama kupatwa kwa jua au?
simba sports club aka sunderland ya africamalizia na mchezaji aliefunga goli hilo anatokea timu inayoitwa Simba sports club.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yanga kama LIPUMBA tu
a.k.a netboli....[emoji23][emoji23][emoji23]Wataalam wa handball
Hao wenzenu no akina nani? Au una maanisha Queen h tambwe?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamani watu waongo. Aisee MISIMBA miongo jamani. Yani goli limekuwa goli. Mbona watu tunapiga magoli kama hayo mengi tu kila siku kwa wake zetu