Cham Bee
JF-Expert Member
- Feb 10, 2015
- 3,516
- 1,854
Pia kupatwa kwa tetemeko.Watanzania tuna bahati sana mwaka huu, juzi juzi kupatwa kwa mwezi kumetokea Tanzania, tena Mbeya, ambayo ni nadra sana kutokea duniani. Hata miezi miwili haijaisha goli la namna hiyo linatokea tena Tanzania! Mweee jobha, Apatwile Mwakajua!