Goli la Shiza Kichuya(Simba SC) lachorewa mchoro Kisayansi

Goli la Shiza Kichuya(Simba SC) lachorewa mchoro Kisayansi

Watanzania tuna bahati sana mwaka huu, juzi juzi kupatwa kwa mwezi kumetokea Tanzania, tena Mbeya, ambayo ni nadra sana kutokea duniani. Hata miezi miwili haijaisha goli la namna hiyo linatokea tena Tanzania! Mweee jobha, Apatwile Mwakajua!
Pia kupatwa kwa tetemeko.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamani watu waongo. Aisee MISIMBA miongo jamani. Yani goli limekuwa goli. Mbona watu tunapiga magoli kama hayo mengi tu kila siku kwa wake zetu
Mashine yako imepinda?
 
Mbona Goli la Mkono ya Tambwe nalo limetambuliwa Na chama cha World Basketball Assiciation
 
Hii si PROJECTILE MOTION ya advanced physics
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamani watu waongo. Aisee MISIMBA miongo jamani. Yani goli limekuwa goli. Mbona watu tunapiga magoli kama hayo mengi tu kila siku kwa wake zetu
Hao wenzenu no akina nani? Au una maanisha Queen h tambwe?
 
Back
Top Bottom