Kamuulize refaWangefunga Azam goli kama lile refa angekubari?
Sasa kama hio ya Liverpool siuonan kabisa walikua wamejipanga na refa haongei na mchezaj yeyote yule
Muwe mnaangalia mpira msiwe kama wamama
Mkuu upo? China mnaendeleaje huko? Hali imetulia sasa?Unaambiwa hayo magoli huwa yanafungwa na timu kubwa tu duniani. Sema leo nimejifunza kitu ambacho sikukijua kabisa.
Kwa kawaida kama kuna faulo lazima refa ahakikishe wachezaji wa pande zote wamejipanga na ndipo apulize kipenga. Kitendo cha leo cha refa akiwa bado anazungumza na wachezaji wa Azam halafu kabla hajaruhusu mpira upigwe mchezaji wa Simba anaanzisha mpira na kufunga. Binafsi ule ni uonevu mkubwa na kama ni ushindi basi refa ndo amewapa Simba ushindi. TFF wapeni adhabu marefa kama wale ikiwa ni kuwafungia maisha. Kweli inauma. Poleni sana Azama ule ulikuwa ushindi wenu.
Lawama kwa wachezaji wa Azam kuendelea kubishana na mwamuzi wakati alishafanya maamuzi ipigwe faulo. Iwe fundisho kuwa refa hawezi kubadilisha maamuzi kwa kuzongwa na wachezaji.Pongezi kwa ujanja wa mfungaji lakini lawama kwa refa kuzubaa
Utopolo ni nyani tu wanachoweza ni kuzomea zomea na kutukana tuLile ni goli halali kabisa wee utopolo!
Wachezaji wa azam wamefanya uzembe wenyewe, badala ya kulinda concentration zone wanakimbilia kucomplain ili waonewe huruma, jambo ambalo lisingewezekana! Walitakiwa walinde goli lao kwa kusimama mbele ya mpira ili refa aweke ukuta au hata wangeuchukua mpira!
Wachezaji ndio waliomsemesha refa kwa kutokujua kuwa kuna kitu kinaitwa quick start ambapo upande unaopiga hauhitaji ukuta!
Kumbuka faulo inatakiwa imnufaishe aliyetendewa kosa, so kama ataona upo upenyo wa kuanzisha mpira haraka anafanya hivyo!
Yaani nyie utopolo kichwani ni bure kabisa!
Na baada ya hapo tunawatafuna kwenye ngao ya hisani.utopolo hamkutaka kabisa mkutane na Simba fainali ila ndio Hivyo tena hamna namna mwaka huu mnaliwa kwanza pale kwa mkapa halafu tunaenda kumalizana tanganyika
Angekubali. Kwani unatesekea kutoka kidimbwi gani wewe?Wangefunga Azam goli kama lile refa angekubari?
Mwamuzi hakua ana waadaa wachezaji was Azam, wao wachezaji wa Azamu ndio walienda kumzonga mwamuzi, Angalia muamuzi baada ya quick start akaanza kukimbia kuelekea uelekeo wa mpira.Siwalaumu wachezaji wa Simba lakini je mwamuzi alikuwa anawahadaa wachezaji wa Azam? Maana walikuwa wanazungumza pale.
Huyo mwenyewe uliemtaja ka-copy.
Original author ni Kumwembe.
We jamaa inaonyesha ni mshamba mtukufuKwa kawaida kama kuna faulo lazima refa ahakikishe wachezaji wa pande zote wamejipanga na ndipo apulize kipenga. Kitendo cha leo cha refa akiwa bado anazungumza na wachezaji wa Azam halafu kabla hajaruhusu mpira upigwe mchezaji wa Simba anaanzisha mpira na kufunga. Binafsi ule ni uonevu mkubwa na kama ni ushindi basi refa ndo amewapa Simba ushindi. TFF wapeni adhabu marefa kama wale ikiwa ni kuwafungia maisha. Kweli inauma. Poleni sana Azama ule ulikuwa ushindi wenu.
mimi yanga ila goal la jana ni goal zur na la halal uzembe ni wa azam watatutia aibu huko mbelen wajifunze kaangalie game ya madrid na sevila tena bora lile ndio utajua uzembe kama ule hautakiw walitakiwa watie mpira kwapan huku wanabishana na muamuz au mmoja atande kwenye mpraKwa kawaida kama kuna faulo lazima refa ahakikishe wachezaji wa pande zote wamejipanga na ndipo apulize kipenga. Kitendo cha leo cha refa akiwa bado anazungumza na wachezaji wa Azam halafu kabla hajaruhusu mpira upigwe mchezaji wa Simba anaanzisha mpira na kufunga. Binafsi ule ni uonevu mkubwa na kama ni ushindi basi refa ndo amewapa Simba ushindi. TFF wapeni adhabu marefa kama wale ikiwa ni kuwafungia maisha. Kweli inauma. Poleni sana Azama ule ulikuwa ushindi wenu.
Hakuwa anaongea nao, wachezaji wa Azam walikuwa wanaongea, lakini mwamuzi hakuwa na mjadala naoMatukio ni mengi ila labda hujaelewa.
Refarii alikuwa anaongea na watu(wakabaji wa mpira)
Kama alikuwa haongei nao,it is right.
Wewe kama nani mpaka uridhishweπππ
Mimi napenda ladha ya soccer kwa mshindi anayeshinda vizuri na kila mmoja anaridhika. Mshindi na aliyeshindwa.
Ujanja ujanja na ghiriba .....