Goli la Simba dhidi ya Azam ASFC 2021

Goli la Simba dhidi ya Azam ASFC 2021

Wangefunga Azam goli kama lile refa angekubari?
 
Siyo refa akiwa anazungumza na wachezaji,Bali wachezaji wa Azam wakiwa wanamlalamikia refa.Waluacha jukumu lao la kukaba na kuomba wapewe ukuta wakaanza kulalamika na faulo wamecheza wenyewe
Kwa kawaida kama kuna faulo lazima refa ahakikishe wachezaji wa pande zote wamejipanga na ndipo apulize kipenga. Kitendo cha leo cha refa akiwa bado anazungumza na wachezaji wa Azam halafu kabla hajaruhusu mpira upigwe mchezaji wa Simba anaanzisha mpira na kufunga. Binafsi ule ni uonevu mkubwa na kama ni ushindi basi refa ndo amewapa Simba ushindi. TFF wapeni adhabu marefa kama wale ikiwa ni kuwafungia maisha. Kweli inauma. Poleni sana Azama ule ulikuwa ushindi wenu.
 
Lile ni goli halali kabisa wee utopolo!
Wachezaji wa azam wamefanya uzembe wenyewe, badala ya kulinda concentration zone wanakimbilia kucomplain ili waonewe huruma, jambo ambalo lisingewezekana! Walitakiwa walinde goli lao kwa kusimama mbele ya mpira ili refa aweke ukuta au hata wangeuchukua mpira!
Wachezaji ndio waliomsemesha refa kwa kutokujua kuwa kuna kitu kinaitwa quick start ambapo upande unaopiga hauhitaji ukuta!
Kumbuka faulo inatakiwa imnufaishe aliyetendewa kosa, so kama ataona upo upenyo wa kuanzisha mpira haraka anafanya hivyo!
Yaani nyie utopolo kichwani ni bure kabisa!
Utopolo ni nyani tu wanachoweza ni kuzomea zomea na kutukana tu
FB_IMG_1616853117648.jpg
 
Huyo mwenyewe uliemtaja ka-copy.
Original author ni Kumwembe.

Si kweli,ni Jr.Farhanjr,uneless hufuatilii style ya uandishi wake,ameandika yeye,kisha Shaffih Dauda akairepost na akampa Credit mwandishi.Edo ameandika kwa ufupi sana,nenda kaangalie muda wa Jr.Falhan kapost kisha angalia kwa Edo.Mpeni credit kijana wa watu acheni roho mbaya.
 
Kwa kawaida kama kuna faulo lazima refa ahakikishe wachezaji wa pande zote wamejipanga na ndipo apulize kipenga. Kitendo cha leo cha refa akiwa bado anazungumza na wachezaji wa Azam halafu kabla hajaruhusu mpira upigwe mchezaji wa Simba anaanzisha mpira na kufunga. Binafsi ule ni uonevu mkubwa na kama ni ushindi basi refa ndo amewapa Simba ushindi. TFF wapeni adhabu marefa kama wale ikiwa ni kuwafungia maisha. Kweli inauma. Poleni sana Azama ule ulikuwa ushindi wenu.
We jamaa inaonyesha ni mshamba mtukufu
 
mimi yanga ila goal la jana ni goal zur na la halal uzembe ni wa azam watatutia aibu huko mbelen wajifunze kaangalie game ya madrid na sevila tena bora lile ndio utajua uzembe kama ule hautakiw walitakiwa watie mpira kwapan huku wanabishana na muamuz au mmoja atande kwenye mpra
 
Back
Top Bottom