Goli la Simba dhidi ya Azam ASFC 2021

Goli la Simba dhidi ya Azam ASFC 2021

Write your reply...NI MWENDAWAZIMU PEKEE ATAKAEAMINI LILE NI GOLI HALALI, LILE SIO GOLI HALALI, AZAM WAMEONEWA
 
Ni mjinga tu au mtu asiyejua kanunu za mpira anaweza kusema ni goli halali lile. Mpira uliokufa unaanzishwa na refaree.
Unakumbuka goli la origi anawauwa Barcelona uefa kwa pas ya Alexander anord
Kwenye kona
 
Faulo ilipulizwa.Maana yake mchezo umesimama.

Ili mchezo uendelee lazima refarii aruhusu tena.

Mazingira yale ya mpira hata kama ni kwiki thinking'i siyo sahihi.

Ingekuwa refarii haongei na mtu sawa.

Ila mchezaji mmojawapo wa Azam yupo na refarii,wanaongea.

Hata kama kanuni zinaruhusu jambo hili siyo sahihi.

Kipyenga kipulizwe.

Pale ni karibu na goli,ukuta uwekwe

Wenye faida na pigo wapige mpira.

Mazingira ya namna ile yanatengeneza maamuzi yasiyo sahihi kwa waamuzi,wengine wanaweza kuzuia ile 'move' ya mpira na kuamuru upigwe tena.

Wengine wakaacha lililoanza liendelee.Yaani tunaruhusu maamuzi ya 'utashi' badala ya maamuzi ya sheria.
Nakuhakikishia kama lile lisingekuwa goli basi refa angesema mpira upigwe upya na kuwahesabia Azam hatua za kuweka ukuta.
 
Ni mjinga tu au mtu asiyejua kanunu za mpira anaweza kusema ni goli halali lile. Mpira uliokufa unaanzishwa na refaree.
Wewe hujui kanuni za mpira uliokufa na hauko tayari kuelekezwa maana umeshajiwekea kizingiti chakutokubali kuwa mjinga. Kiufupi wewe kubali kuwa mjinga ujielimishe.
 
Haya maandishi yako yana matobo. Kama kweli mpigaji takes all, mbona akipiga mpira ukazuiwa na aliye karibu adhabu inarudiwa wakati alianza kwa kiherehere chake. Ni mchezo gani huo ambao mwamuzi hana mamlaka kwa baadhi ya matukio?
Kama hujui kitu kwani lazima ubishane. Hichi ni kitu kipya kwako kwahiyo ni vizuri ukajifunza kuliko kubishana

Mpigaji akipiga na ukazuiwa na mzuiaji aliye karibu inarudiwa. Lakini ikatikea ikampita mzuihati mpira unaendelea kama kawaida
 
Faulo ilipulizwa.Maana yake mchezo umesimama.

Ili mchezo uendelee lazima refarii aruhusu tena.

Mazingira yale ya mpira hata kama ni kwiki thinking'i siyo sahihi.

Ingekuwa refarii haongei na mtu sawa.

Ila mchezaji mmojawapo wa Azam yupo na refarii,wanaongea.

Hata kama kanuni zinaruhusu jambo hili siyo sahihi.

Kipyenga kipulizwe.

Pale ni karibu na goli,ukuta uwekwe

Wenye faida na pigo wapige mpira.

Mazingira ya namna ile yanatengeneza maamuzi yasiyo sahihi kwa waamuzi,wengine wanaweza kuzuia ile 'move' ya mpira na kuamuru upigwe tena.

Wengine wakaacha lililoanza liendelee.Yaani tunaruhusu maamuzi ya 'utashi' badala ya maamuzi ya sheria.

Haya hapo kipyenga gani kilipulizwa? Kama hujui kaa kimya. Unaandika maelezo mengi.. utopolo mtupu!!!
 
Mkuu bado mazingira hayafanani.

Kwa mfano refarii angekuwa anaongea na golikipa na Morisson akipiga mpira golini,lingekuwa goli??
Lingekuwa goli. Pia uwe unatofautisha Kati ya refa kumuita mtu kuongea naye na mtu kwenda kumlalamikia refa.
Kama refa angekuwa amemuita mchezaji wa azam ili kuongea naye isingekuwa goli.
Ila pale wachezaji wa azam ndiyo walimfuata refaree na kuanza kuongea naye kabla ya kuhakikisha kwamba wamesimama mbele ya mpira ili usipigwe.
 
Back
Top Bottom