Seleli kusema hataondoka CCM ni siasa tu hata Mpendazoe majuzi alikana hivyo hivyo kwa hiyo Mchili dont take them seriouslyWenye ujasiri huo sio wengi. Nimemshangaa sana Selelii remarks yake kwamba Mpendazoe angemtaka ushauri angemwambia asiondoke na kwamba yeye hatatoka CCM. Wengi ni aina hiyo ya kuganga njaa na hawajui wanatetea nini.
Big up Mpendazoe.
Mtu BHilo goli la Mpendazoe kajifunga mwenyewe. Yaani imekula kwake.
Nani kakwambia Mpendazoe anatafuta umaarufu yeye katoka kimya kimya alichofanya ni kusimama kuhesabiwa tu CCM ndio wanaohaha na maneno kibao na wewe pia umejinga nao sizitaki mbichi hiziMpendazoe hajaifungaCCM goli bali amejifunga mwenyewe kwenye mechi isiyokuwa na referee.Huo umaarufu wa mpendazoe unaodaiwa na watu si chochote kwani wanaoona kama ni maarufu ni watu wa aina yake na wale wengine wanaojiita mashujaa wa kupambana na ufusadi.Lakini kama ni mkweli mbona hawajaeleza hao wanatuhumiwa na ufisadi wamefanya nini na kuthibitisha tuhuma hizo.kilichosikika ni kelele za mbwa mwoga tuu.tena kwa mtuu yeyote makini hakuna mchango wowote wa maendeleo walioufanya aidha katika majimbo yao na hata katika chama chao katika ngazi ya wilaya.Hasara walioifanya katika majimbo yao ni kujenga makundi tuu.Let them go na hao wengine.
Wameshasema eti hakuwahi kuongoza hata shina. Shem on them.
"Nasononeka CCM imegeuka gulio la kila mtafuta cheo na utajiri haramu. CCM imegeuka kimbilio la kila mwenye dhamira ya ulanguzi. CCM imepoteza maadili ya uongozi na imekuwa ngome ya mafisadi wanaotafuna utajiri wa nchi yetu. Natoka CCM na sijutii uamuzi wangu," aliongeza.
Hapa kwa kweli Mzee Mwanakijiji umesema, sijui hawa CM watatueleza nina propaganda zao, ni wakati wa Vitendo na wala si swala la kusubiria.
Hongera sana Mpendazoe kwa kuonyesha njia, wengi watakufuata.