Damaso
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 3,978
- 6,739
Dunia haina huruma aisee! Poleni sana!
Uongozi wa timu yetu ya Fountain Gate Football Club umeamua kulivunja benchi lote la ufundi lililokuwa likiongozwa na kocha wetu mkuu Mohamed Muya.
Soma Pia: Full Time: Yanga SC 5-0 Fountain Gates FC | NBC Premier League | KMC Complex | 29 Disemba, 2024
Klabu inawashukuru kwa mchango wao ndani ya timu na kuwatakia kila la kheri.