True...Fake!!!
Kwani timu imeshatoka uwanjani? Si bado wanapeana mikono na waamuzi😀.
Dunia haina huruma aisee! Poleni sana!
Uongozi wa timu yetu ya Fountain Gate Football Club umeamua kulivunja benchi lote la ufundi lililokuwa likiongozwa na kocha wetu mkuu Mohamed Muya.
Soma Pia: Full Time: Yanga SC 5-0 Fountain Gates FC | NBC Premier League | KMC Complex | 29 Disemba, 2024
Klabu inawashukuru kwa mchango wao ndani ya timu na kuwatakia kila la kheri.
Huko majuu ukiwa kocha haswa kwenye elite leagues, lazima uweke mindset ya mguu nje au ndani. Kufukuzwa ni asapMojawapo ya kazi ngumu katika ulimwengu wa michezo ni ukocha wa soka. Kufukuzwa nje nje.