Goli tano za Yanga zimeenda na Watu : Klabu ya Fountain Gate yalivunja benchi lake la ufundi

Hizi ni sanaa za maigizo na tamthilia.
Wenye D mbili tunajua michezo hii ya yanga.Wanatumia akili ya shetani kurubuni watu wenye uwezo mdogo wa kufikiri ili wahisi yanga imeshinda kiukweli kweli.
 
Sijui kwanini mpaka ITV wanatangaza habari za uongo!? 🤔
 
Hata Roberthno alifurushwa baada ya kulambwa ✊ mambo haya sio mageni hapa jijini
 
Hizi ni sanaa za maigizo na tamthilia.
Wenye D mbili tunajua michezo hii ya yanga.Wanatumia akili ya shetani kurubuni watu wenye uwezo mdogo wa kufikiri ili wahisi yanga imeshinda kiukweli kweli.
Kama unaona maigizo leta timu yako
 
Wale mabeki wameoza. Kama benchi limevunjwa mabeki wachapwe viboko
 
Na bado! Watani wa jadi wakae mkao wa goli tano tena!
DAIMA MBELE NYUMA MWIKO!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…