Golikipa Beno Kakolanya ni moja kati ya maduka ya Home shopping center (GSM)

Acha bhange mkuu, hakuna goli la kipa hata moja, magoli aliyofungwa de gea nae ni duka la mmiliki wa Brentford?
Unaiongelea ligi ambayo ilishapiga hatua kubwa ktk kuzuia match fixing!!? Upo timamu kichwani? Epl vs NBC PL??
 
Haina salamu! Moja kwa moja kwenye uzi

Hivi benchi la ufundi la timu ya simba linaruhusu vipi hili duka la GSM kuendelea kuidakia timu yetu??!!! Hawa wachezaji tunaowasajili kutokea Yanga si wa kuwamini hata kidogo!

Ukiangalia magoli yote mawili ya jana yaliyofungwa na Fiston kaamka mayele utagundua kuwa kuna kauzembe cha makusudi kilichofanywa na hilo duka la GSM pale golini. Goli kipa wa kimataifa huwezi akafungwa goli za kinamna ile, yaani kipa anashindwa kunyoosha mikono yake kudaka kashuti kadhaifu kama kile tena kashuti cha chinichini kama kile....!!

Haya maduka huwa yanapokea tu maelekezo kutoka kwa waajiri wao wa zamani ili tu yafungishe na mwisho wa siku yanaenda kuchukua (yanaingiziwa) donge nono.

Ni kipindi sasa simba itafute golikipa wa kiwango cha juu kutoka nje ya tanzania maana hawa wazawa wanaendekeza sana matumbo yao kuliko maslahi ya timu.

Wasalam
MAKOLOOOO ULIBWANJII!TULIWAAMBIA KUWAITA ST. GEORGE VIBONDE ILI MJIPIGIE MJIONE MNA TIMU ITAWACOST!MMEONA SASA
 
Jamani stop it..,hivi mnajua wanajisikiaje?.kweli mtu ajibamize vile wakati amenunuliwa?.mfano Inonga mpk mdomo walimpasua akawa anatoka damu nyie achenii kuhusu wachezaji. Labda huyo mzungu ndo mnaweza kumsema ila otherwise wapeni pole na hongera kwani hata wao pia walifunga wamezidiwa moja tuu na Beno aliokoa magoli mengi tuu. I feel vile wana feel
Wanatafuta wa kumbebesha lawama.
 
Ukishakua mkubwa ndio utaelewa siasa na umafia uliomo ndani ya soka la bongo. Jiulize kwann polisi hu-deal na walinzi wa magodauni ya wahindi kwanza pindi wizi unapotokea licha ya kuwa walinzi hao wamejeruhiwa vibaya ktk mapambano dhidi ya majambazi!?
Sawa ni maoni yako
 
Haina salamu! Moja kwa moja kwenye uzi

Hivi benchi la ufundi la timu ya simba linaruhusu vipi hili duka la GSM kuendelea kuidakia timu yetu??!!! Hawa wachezaji tunaowasajili kutokea Yanga si wa kuwamini hata kidogo!

Ukiangalia magoli yote mawili ya jana yaliyofungwa na Fiston kaamka mayele utagundua kuwa kuna kauzembe cha makusudi kilichofanywa na hilo duka la GSM pale golini. Goli kipa wa kimataifa huwezi akafungwa goli za kinamna ile, yaani kipa anashindwa kunyoosha mikono yake kudaka kashuti kadhaifu kama kile tena kashuti cha chinichini kama kile....!!

Haya maduka huwa yanapokea tu maelekezo kutoka kwa waajiri wao wa zamani ili tu yafungishe na mwisho wa siku yanaenda kuchukua (yanaingiziwa) donge nono.

Ni kipindi sasa simba itafute golikipa wa kiwango cha juu kutoka nje ya tanzania maana hawa wazawa wanaendekeza sana matumbo yao kuliko maslahi ya timu.

Wasalam
Unateseka ukiwa kipande kipi cha nchi yetu pendwa?
 
Beno hana kosa ila ajue kipa Bora hawezi kufungwa mashuti ya vile. Huwezi kuwa kipa Bora kama hufanyi saves kutokana na makosa ya mabeki maana hakuna timu ambayo mabeki hawafanyi makosa.
 
Rudia highlights za hayo magoli utagundua ninayoyaongea. Ila huwezi kunielewa ikiwa hujui basics za goalkeeping
Ndio maana sio goalie number 1
Tumia akili yako vizuri, niwie radhi kwa maneno makali niliyotumia.
 
Haina salamu! Moja kwa moja kwenye uzi

Hivi benchi la ufundi la timu ya simba linaruhusu vipi hili duka la GSM kuendelea kuidakia timu yetu??!!! Hawa wachezaji tunaowasajili kutokea Yanga si wa kuwamini hata kidogo!

Ukiangalia magoli yote mawili ya jana yaliyofungwa na Fiston kaamka mayele utagundua kuwa kuna kauzembe cha makusudi kilichofanywa na hilo duka la GSM pale golini. Goli kipa wa kimataifa huwezi akafungwa goli za kinamna ile, yaani kipa anashindwa kunyoosha mikono yake kudaka kashuti kadhaifu kama kile tena kashuti cha chinichini kama kile....!!

Haya maduka huwa yanapokea tu maelekezo kutoka kwa waajiri wao wa zamani ili tu yafungishe na mwisho wa siku yanaenda kuchukua (yanaingiziwa) donge nono.

Ni kipindi sasa simba itafute golikipa wa kiwango cha juu kutoka nje ya tanzania maana hawa wazawa wanaendekeza sana matumbo yao kuliko maslahi ya timu.

Wasalam
Bange hizi. Kama huwezi kuvumilia acha ushabiki. Mijitu kama wewe ndio inayorudisha soka nyuma. Makosa yamefanyika kuanzia kwa mabeki wa kati, timu ikafungwa. Sasa wewe unatuletea ramli chonganishi.
 
Back
Top Bottom