Tipstipstor
JF-Expert Member
- Nov 29, 2021
- 1,528
- 3,352
- Thread starter
-
- #21
Unaiongelea ligi ambayo ilishapiga hatua kubwa ktk kuzuia match fixing!!? Upo timamu kichwani? Epl vs NBC PL??Acha bhange mkuu, hakuna goli la kipa hata moja, magoli aliyofungwa de gea nae ni duka la mmiliki wa Brentford?
Ndio huyo huyoUnamuongelea kipa ambae mshahara wa kikosi kizima cha brentford wanaolipwa kwa wiki haufiki mshahara wake
Naongelea kile unachokiita rushwa kwenye goalkeeping,Unaiongelea ligi ambayo ilishapiga hatua kubwa ktk kuzuia match fixing!!? Upo timamu kichwani? Epl vs NBC PL??
FA = ASFCKwani FA pamoja na ASFC alidaka nani?
Kafanye majaribio udake wewe
MAKOLOOOO ULIBWANJII!TULIWAAMBIA KUWAITA ST. GEORGE VIBONDE ILI MJIPIGIE MJIONE MNA TIMU ITAWACOST!MMEONA SASAHaina salamu! Moja kwa moja kwenye uzi
Hivi benchi la ufundi la timu ya simba linaruhusu vipi hili duka la GSM kuendelea kuidakia timu yetu??!!! Hawa wachezaji tunaowasajili kutokea Yanga si wa kuwamini hata kidogo!
Ukiangalia magoli yote mawili ya jana yaliyofungwa na Fiston kaamka mayele utagundua kuwa kuna kauzembe cha makusudi kilichofanywa na hilo duka la GSM pale golini. Goli kipa wa kimataifa huwezi akafungwa goli za kinamna ile, yaani kipa anashindwa kunyoosha mikono yake kudaka kashuti kadhaifu kama kile tena kashuti cha chinichini kama kile....!!
Haya maduka huwa yanapokea tu maelekezo kutoka kwa waajiri wao wa zamani ili tu yafungishe na mwisho wa siku yanaenda kuchukua (yanaingiziwa) donge nono.
Ni kipindi sasa simba itafute golikipa wa kiwango cha juu kutoka nje ya tanzania maana hawa wazawa wanaendekeza sana matumbo yao kuliko maslahi ya timu.
Wasalam
Wanatafuta wa kumbebesha lawama.Jamani stop it..,hivi mnajua wanajisikiaje?.kweli mtu ajibamize vile wakati amenunuliwa?.mfano Inonga mpk mdomo walimpasua akawa anatoka damu nyie achenii kuhusu wachezaji. Labda huyo mzungu ndo mnaweza kumsema ila otherwise wapeni pole na hongera kwani hata wao pia walifunga wamezidiwa moja tuu na Beno aliokoa magoli mengi tuu. I feel vile wana feel
Sawa ni maoni yakoUkishakua mkubwa ndio utaelewa siasa na umafia uliomo ndani ya soka la bongo. Jiulize kwann polisi hu-deal na walinzi wa magodauni ya wahindi kwanza pindi wizi unapotokea licha ya kuwa walinzi hao wamejeruhiwa vibaya ktk mapambano dhidi ya majambazi!?
Unateseka ukiwa kipande kipi cha nchi yetu pendwa?Haina salamu! Moja kwa moja kwenye uzi
Hivi benchi la ufundi la timu ya simba linaruhusu vipi hili duka la GSM kuendelea kuidakia timu yetu??!!! Hawa wachezaji tunaowasajili kutokea Yanga si wa kuwamini hata kidogo!
Ukiangalia magoli yote mawili ya jana yaliyofungwa na Fiston kaamka mayele utagundua kuwa kuna kauzembe cha makusudi kilichofanywa na hilo duka la GSM pale golini. Goli kipa wa kimataifa huwezi akafungwa goli za kinamna ile, yaani kipa anashindwa kunyoosha mikono yake kudaka kashuti kadhaifu kama kile tena kashuti cha chinichini kama kile....!!
Haya maduka huwa yanapokea tu maelekezo kutoka kwa waajiri wao wa zamani ili tu yafungishe na mwisho wa siku yanaenda kuchukua (yanaingiziwa) donge nono.
Ni kipindi sasa simba itafute golikipa wa kiwango cha juu kutoka nje ya tanzania maana hawa wazawa wanaendekeza sana matumbo yao kuliko maslahi ya timu.
Wasalam
Yale magoli siyo uzembe wa kipa ,ni uzembe wa mabekiYale magoli ya kizembe Kwa kipa ila kuhusu duka mpaka uwe na ushahidi
Kanichanganya huyu boya nlikuwa nataka kuandika Ngao ya jamiiF
FA = ASFC
Ndio maana sio goalie number 1Rudia highlights za hayo magoli utagundua ninayoyaongea. Ila huwezi kunielewa ikiwa hujui basics za goalkeeping
Bange hizi. Kama huwezi kuvumilia acha ushabiki. Mijitu kama wewe ndio inayorudisha soka nyuma. Makosa yamefanyika kuanzia kwa mabeki wa kati, timu ikafungwa. Sasa wewe unatuletea ramli chonganishi.Haina salamu! Moja kwa moja kwenye uzi
Hivi benchi la ufundi la timu ya simba linaruhusu vipi hili duka la GSM kuendelea kuidakia timu yetu??!!! Hawa wachezaji tunaowasajili kutokea Yanga si wa kuwamini hata kidogo!
Ukiangalia magoli yote mawili ya jana yaliyofungwa na Fiston kaamka mayele utagundua kuwa kuna kauzembe cha makusudi kilichofanywa na hilo duka la GSM pale golini. Goli kipa wa kimataifa huwezi akafungwa goli za kinamna ile, yaani kipa anashindwa kunyoosha mikono yake kudaka kashuti kadhaifu kama kile tena kashuti cha chinichini kama kile....!!
Haya maduka huwa yanapokea tu maelekezo kutoka kwa waajiri wao wa zamani ili tu yafungishe na mwisho wa siku yanaenda kuchukua (yanaingiziwa) donge nono.
Ni kipindi sasa simba itafute golikipa wa kiwango cha juu kutoka nje ya tanzania maana hawa wazawa wanaendekeza sana matumbo yao kuliko maslahi ya timu.
Wasalam
Utetezi wa hovyo Sana. Kwa hiyo mashabiki wote wa man u hakuna aliekosoa hiyo performance ya De gea huku mitandaoni?Nenda kaangalie magoli aliyofungwa De gea jana...ππππ ukiyaona utafuta huu uzi mapema