Mkuu lakini kulikuwa na umuhimu wa golikipa kutoka nje..!? naona wangetafuta hapa TzNdio tulikua na uhitaji wa kipa imara.Magoli tuliyofungwa round ya 1. Yalisababishwa sana na uzito wa kipa wetu.Agban ni mzuri kupanga beki ila ikizidiwa hana namna ni kuachia tu.
Kama ni hivyo Agban atemwe ili apishe nafasi ya mchezaji mwingine wa kigeniUnajua kipa wa ndani ni lazima awe na mapenzi na timu,kipa kama Bartez yupo yanga lakini roho ipo simba,akikutana na simba roho inamsuta kama lipimba,anafungisha
Nasikia mavugo ndio anayesepaKama ni hivyo Agban atemwe ili apishe nafasi ya mchezaji mwingine wa kigeni