Golikipa Danniel Agrey tayari amewasili kwa ajili ya kumalizana na Simba SC

Golikipa Danniel Agrey tayari amewasili kwa ajili ya kumalizana na Simba SC

Ghazwat

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2015
Posts
23,718
Reaction score
66,267
1480523160261.jpg
1480523173759.jpg

Golikipa kutoka nchini Ghana Danniel Agrey ametua nchini leo kwa ajili kusaini mkataba wa miaka mawili wa kuichezea Simba SC

Agrey aliyekuwa anachezea Klabu ya Madeama nchini Ghana, amewasili kwa kutumia shirika la KQ na kupokelewa na Mratibu wa timu ya Simba, Abbas Ally
 
Ndio tulikua na uhitaji wa kipa imara.Magoli tuliyofungwa round ya 1. Yalisababishwa sana na uzito wa kipa wetu.Agban ni mzuri kupanga beki ila ikizidiwa hana namna ni kuachia tu.
 
Ndio tulikua na uhitaji wa kipa imara.Magoli tuliyofungwa round ya 1. Yalisababishwa sana na uzito wa kipa wetu.Agban ni mzuri kupanga beki ila ikizidiwa hana namna ni kuachia tu.
Mkuu lakini kulikuwa na umuhimu wa golikipa kutoka nje..!? naona wangetafuta hapa Tz

Au labda Agban watamuacha mwisho wa msimu..!
 
Unajua kipa wa ndani ni lazima awe na mapenzi na timu,kipa kama Bartez yupo yanga lakini roho ipo simba,akikutana na simba roho inamsuta kama lipimba,anafungisha
 
Unajua kipa wa ndani ni lazima awe na mapenzi na timu,kipa kama Bartez yupo yanga lakini roho ipo simba,akikutana na simba roho inamsuta kama lipimba,anafungisha
Kama ni hivyo Agban atemwe ili apishe nafasi ya mchezaji mwingine wa kigeni
 
Hivi nini kimemtokea sembo ,huyu ndio alikuwa analeta habari za Simba siku hizi kimya
 
Kwa hiyo sasa kuna

Angban
Bokungu
Juuko
Ndusha
Blagnon
Okwi
Majabvi
Mavugo
Daniel Agrey

Lazima wawili waondoke hapa
 
Mbona mibeg ming hahaha anafikr anahamia na cmba hawachelew kufukuza
 
Back
Top Bottom