Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,267
Chirwa 200ml...kuna mtaa wa ghana pale karia koo.....labda aliichezea ile klabu ya mtaa ule .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chirwa 200ml...kuna mtaa wa ghana pale karia koo.....labda aliichezea ile klabu ya mtaa ule .
Kamuangalie kwenye score sheet!Chirwa 200ml...
Daniel Agyei - WikipediaShule zimeshafunguliwa?Na miss kulumbana na wapenzi wa kweli wa Yanga.Hawa wavimba macho hawajui hata wanachangia nini.
Kumbe na huko Mbeya Kuna mitaa ya Ghana mkuuSimba bwana, huyo kipa sijui wamemchukua Ghana ya Mbeya au ile ya Mwanza?
Tusiwe wepesi wa kulaumu,kilichosemwa alishawahi kuitwa timu ya taifa ya Ghana.Hii haimaanishi yeye ni golikipa namba 1 kule.Pia,game alizodakia na kupambana na Brazil ilikuwa ni U-21 kama sikosei.Mara ya mwisho alikuwa Medeama na alidaka kwenye mechi yao na Vyura FC pale Taifa.Alipokuja huyo golikipa wa Ghana tuliambiwa anachezea timu ya taifa na aliwazuia Brazil kombe la dunia sasa nawauliza mbona hajaenda kwenye Afcon? Au tulipigwa changa la macho hao ndio viongozi wa simba
usijitoe ufahamu sana kwani kuna Bossou wa TogoSubiri Sembo aje. Mzee wa takwimu za mnyama.
Akili tu ya kawaida, mlinda mlango wa Black Stars aje kuchezea matope Bongo?
Labda dunia imekengeuka!
Togo na Ghana sio level moja. Ukijitoa ufahamu ndiyo watakuwa level mojausijitoe ufahamu sana kwani kuna Bossou wa Togo
Nilidhani wote wapo AFCONTogo na Ghana sio level moja. Ukijitoa ufahamu ndiyo watakuwa level moja