Golikipa wa Simba Agyei vipi?

Golikipa wa Simba Agyei vipi?

watanzania tunaongea sana. jambo la msingi sio huyu kipa alichezea timu gani bali inatakiwa kuangaliwa je amekidhi mahitaji ya simba? je ni bora kuliko agban? hayo mengine yote ni mbwembwe tu za magazeti yetu. kuna wachezaji kibao wa kulipwa wameshakuja hapa bongo tunaambiwa huyu sijui mchezaji tegemeo wa timu ya taifa, mara mwingine sijui yupo daraja la pili uingereza lakini wakipewa nafasi hovyo kabisa uwanjani. tumhukumu agyei kwa kiwango chake alichoonyesha mpaka sasa kwenye ligi na mapinduzi cup basi.
 
Chirwa 200ml...
Kamuangalie kwenye score sheet!

1. Njoo na idadi yake ya Mabao.?
2. Njoo na idadi yake ya mechi alizocheza.?
3. Amepitwana wachezaji wako wangapi kwenye score sheet, akiw amecheza hizo mechi.?
4. Tutajie jina la mchezaji mbali na Kichuya anayempita kwa mabao.?

kwa sisi wana uchumi tunasema "Economies Of Scale"
 
Alipokuja huyo golikipa wa Ghana tuliambiwa anachezea timu ya taifa na aliwazuia Brazil kombe la dunia sasa nawauliza mbona hajaenda kwenye Afcon? Au tulipigwa changa la macho hao ndio viongozi wa simba
Tusiwe wepesi wa kulaumu,kilichosemwa alishawahi kuitwa timu ya taifa ya Ghana.Hii haimaanishi yeye ni golikipa namba 1 kule.Pia,game alizodakia na kupambana na Brazil ilikuwa ni U-21 kama sikosei.Mara ya mwisho alikuwa Medeama na alidaka kwenye mechi yao na Vyura FC pale Taifa.
 
Subiri Sembo aje. Mzee wa takwimu za mnyama.
Akili tu ya kawaida, mlinda mlango wa Black Stars aje kuchezea matope Bongo?
Labda dunia imekengeuka!
usijitoe ufahamu sana kwani kuna Bossou wa Togo
 
Vipi Ngoma ,, Zulu ,, Kamsokwe,, na mchezaji wa bei mbaya Chirwa kwenye timu zao za taifa?
 
Back
Top Bottom