Golikipa wa Simba SC na Taifa Stars Aishi Manula amefunga ndoa leo

Golikipa wa Simba SC na Taifa Stars Aishi Manula amefunga ndoa leo

Ghazwat

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2015
Posts
23,718
Reaction score
66,267
73c80fb21b020cdb692fe1cf818af6dd.jpg
Golikipa wa klabu ya Simba Sports Club kutoka mtaa wa Msimbazi na timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars, Aishi Manula, amefunga ndoa leo Jumamosi Januari 6, 2018 huko kwao Mkamba, Morogoro.

Kwa niaba ya mashabiki wenzangu wa Simba Sports Club (Mnyama) akina Sembo, OKW BOBAN SUNZU, Shunie na GENTAMYCINE popote pale ulipo na wengine hapa JamiiForums ambao ni mashabiki kindakindaki na wanachama wa Simba Sports Club na hata watani zetu pale Jangwani Sibonike, barafuyamoto, demigod, kwa uamuzi alioufanya golikipa wetu wa Simba SC na Timu ya Taifa, basi bila hiyana tuweke silaha chini tuungane katika kumtakie maisha mema yenye heri zaidi katika maisha yake mapya ya ndoa.... Ameen
 
Utaharibu shughuli za watu huwezi kuwa na mpika na ushabiki haya kwa niaba ya yanga namtakia kila lakheri manula
 
Utaharibu shughuli za watu huwezi kuwa na mpika na ushabiki

Mkuu kama sijakuelewa vile. Unamanisha nini hapo, fafanua ijapokuwa umemtakia heri aisee
 
Hapo Simba jiandaeni kufungwa kila siku ..mtajiju kumfukuza yule Angban mwenye rekodi nzuri golini
 
Hongera sana Aishi na mke wako.Mm ni mpenzi wa Yanga damu damu.Kumbe ndiyo maana hivi karibuni ulikuwa unafungwa ya ajabu ajabu.Akili ku ndoa
 
Back
Top Bottom