Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,267
Kwa niaba ya mashabiki wenzangu wa Simba Sports Club (Mnyama) akina Sembo, OKW BOBAN SUNZU, Shunie na GENTAMYCINE popote pale ulipo na wengine hapa JamiiForums ambao ni mashabiki kindakindaki na wanachama wa Simba Sports Club na hata watani zetu pale Jangwani Sibonike, barafuyamoto, demigod, kwa uamuzi alioufanya golikipa wetu wa Simba SC na Timu ya Taifa, basi bila hiyana tuweke silaha chini tuungane katika kumtakie maisha mema yenye heri zaidi katika maisha yake mapya ya ndoa.... Ameen