Beother, sitoingia sana kwenye siasa maana sizielewi na hazinihusu, naongelea nayoyaona. JWTZ walienda vitani kama wengine. Goma ni mjini kati, kama unavyoijua Dar. Ukiandaa mashambulizi ya kijeshi, lazima utaua na raia. Hilo ulilisikia!? Mi nachoweza kukukubalia, hesabu zilipigwa. M23 iliombwa kuachia mji kwa amani, ikatii. Sasa baada ya miaka 10, unajua walikuwa wapi!? Nyuma ya pazia kilipikwa kitu gani!? Hivi, uje uulizie kombola moja la kudungua mengine lina bei gani! Rwanda juzi kutwa nzima walirumia mangapi!? Hiyo pesa ya kuyanunua ilitoka wapi!? Alinunua mitambo hiyo akimlenga nani!? Hivi vitu ni vya kuachia wenyewe, ila ukweli kuna mataifa makubwa nyuma ya huu mzozo.