Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakati ule tunasema Mugalu ni average player wa kuwafunga wakina Mwadui na sio key player wa match kubwa na kuamua matokeo ya timu mlikuwa mnatuambia sisi hatujui wachezaji wazuri,na ikatokea Mugalu akafunga magoli kwa hizi timu ndogo mkawa mnakuja hapa kumpamba na kusema hakuna mwingine kama yeye but leo hii ndio mnamuona galasa,acheni unafiki enyi mambumbumbu fc.Huyu nilimuona hafai tangu mwaka jana na sijui ni kwa nini yupo pale Simba. Ametukosesha ushindi katika mechi nyingi sana. Na mbaya zaidi aliyekuwa anamlisha pasi za wazi za mwisho (CCC) hayupo tena. Kweli hili chezaji feki ni kizungumkuti cha muda mrefu sasa. Lisepe tu na hatuto li-miss.
Nina wasiwasi dirisha dogo akawaletea Muhindi mmoja kutoka Kiwandani kwake na kusema huyu ni mshambuliaji hatari kutoka Brazil.Mshauza timu alafu muwe aggressive? Hahaha....mo saivi anafanya anachotaka anaweza hata chukua mtu kiwandani kule akamleta awe namba 9 wenu na hamna la kumfanya
Hii inaitwa ngumu kumeza lakini ndo ukweli ...usajiri wa sakho..kanoute na Banda ni wa hovyo kwa sababu umetoa keys players unasajiri wachezaji wasio na nguvu....wote tumeona siku ile mechi ya tp mazembe...mchezaji inabidi awe na nguvu na umbo la kimichezo ukikadiria hata body weight zao utakuta ni kilo 45 mpaka 50...unadhani uyo mchezaji anaweza kupambana na aucho au mayele wa yanga.. lazima tukubali mpira inahitaji umbo na nguvu mchezaji Kama sakho na Banda ni wachezaji wazuri lakini hawana nguvu...nguvu inampa mchezaji advantage mbili..Kama kuficha mpira na kwenye kukaba ...huo ndio ukweli ndio maana Kama mmegundua kanoute anaanguka Mara kwa Mara...kipindi Maximo anakuja tz alikuta kaseja anaimbwa nchi nzima kua ni tz one...alipochagua kikosi chake Ivo mapunda akamchagua kuwa ni namba moja ...akajenga hoja kwamba standard football..inataka wachezaji wenye vimo na maumbo ya kuridhisha huo ndio ukweli...kwa sakho..kanoute na Banda tumepigwa mchana kweupe..hawawezi kucheza phisical games..angalia timu kubwa Africa Kama mazembe ..widad Casablanca Zina wachezaji wenye nguvu.. hii ni analytical assessment coz mi pia nimesomea ukocha ...
Tulia wewe sisi tuna deal na mugalu kwanza nyie utopolo tutawarudia week hii inayokujanilikwambia kolo wewe ukajfanya shushushu
Alikuwa anakula bablishi uwanjani hajali wala nini huyo mchezaji simba walimtoa wapi wamrudishe kagereAmeshatukosesha sana ushindi huyu fala hata game ya kaizer, prison, yanga, yaan game zote kubwa halafu haoneshi kujutia kabisa
Uzi was KIPUUZI unadhani Simba iko kwa ajili ya kuifunga Yanga au kubeba makombe ya KUKUNajua kuna mtakaonipinga sana, cha kwanza Chris Mugalu hata kama wakija Bayern munich hapa akawafunga kwangu nitalichukulia ni lijinga tu limepiiga fluke halina tofauti na Giroud tena afadhali ya yule mzungu hata goal anajua liko wapi
Kuhusu kocha nilimpenda sana mwanzoni ila ukweli ni kwamba hii ligi ya 16 teams(teams zina hasira kali mwaka huu na Gomez style yake ileile hadi mabeki) na mtindo wake wa kubagua wachezaji ajiandae tu Mungu tusaidie simba tutetee taji which is going to be hard sababu nimeambiwa kuna mtu mkubwa anambeba Mugalu na kocha ila sisi tutaamua mwishoni tuaona nani mshindi basi
Hivi mimi siyo mtaaluma wa mbinu ,siyo kocha ila kama dilunga alimsumbua Djuma shabani akamzuia kupanda halafu kocha akamtoa na kufanya makorokocho ili kijana wake sijui nani wake mugalu abaki uwanjani ingekuwaje kama ile nafasi ya kushoto angecheza 11 Gadiel michael , tatu zimbwe.......namba 7 kapombe...mbili Israel Mwenda kwani kingeharibika nini
Yaani itumike hata champions league wana uwezo wote wa kupanda na kuzuia kwani lazima kina peter banda?
Any way labda tunahitaji akili mpya nasikia mzungu kila siku anatishia kuondoka anabembelezwa , Mugalu anakosa magoli anacheka na kutafuna jojo TUAMKE SASA MASHABIKI WA SIMBA TUWE AGGRESIVE NDIYO TUNAWAPENDA MO NA BARBARA ILA SASA HALII INAPOELEKEA MAZOEA YANAAANZA KUWA MABAYA CHUKUENI HATUA KAMA VIPI MZUNGU NA KIPENZI CHAKE SIJUI MPENZI WAKE MUGALU WASEPE
we mjinga concern yetu kubwa ni champions league na kocha kuchanganyikiwa sababu ya mapengo mawili na kukazania kumtumia mjinga mugalu usijifanye kama huoni concerns zetuUzi was KIPUUZI unadhani Simba iko kwa ajili ya kuifunga Yanga au kubeba makombe ya KUKU
Ila kweli mkuu siioni simba ya kina sakho na Mugalu ikifika mbaliwe mjinga concern yetu kubwa ni champions league na kocha kuchanganyikiwa sababu ya mapengo mawili na kukazania kumtumia mjinga mugalu usijifanye kama huoni concerns zetu
Na yes kuwafunga yanga ni muhimu sana unaweza kunijibu ni kwa nini jana Dilunga alitoka na kusababisha Djuma shabni kuwa free akaanza kumsumbua zimbwe naye akatolewa tena?
Unaweza kunijibu ni kwa nini Farid alimsumbua sana kapombe hadi shomari kibwana naye akawa free? naturally kibwana siyo namba 3 utopolo kwa sasa wana shida left back ilitakiwa dilunga au mhilu aende kule kumkimbiza , 11 acheze Kibu USITETEEE UJINGA KOCHA KACHANGANYIKIWA HAJUI HATA ANAFANYA NINI
Tuko concerned na mengi sana
Mugalu sio wa kumchezesha derby ni mpuuz anachez kW pressure tuNajua kuna mtakaonipinga sana, cha kwanza Chris Mugalu hata kama wakija Bayern munich hapa akawafunga kwangu nitalichukulia ni lijinga tu limepiiga fluke halina tofauti na Giroud tena afadhali ya yule mzungu hata goal anajua liko wapi
Kuhusu kocha nilimpenda sana mwanzoni ila ukweli ni kwamba hii ligi ya 16 teams(teams zina hasira kali mwaka huu na Gomez style yake ileile hadi mabeki) na mtindo wake wa kubagua wachezaji ajiandae tu Mungu tusaidie simba tutetee taji which is going to be hard sababu nimeambiwa kuna mtu mkubwa anambeba Mugalu na kocha ila sisi tutaamua mwishoni tuaona nani mshindi basi
Hivi mimi siyo mtaaluma wa mbinu ,siyo kocha ila kama dilunga alimsumbua Djuma shabani akamzuia kupanda halafu kocha akamtoa na kufanya makorokocho ili kijana wake sijui nani wake mugalu abaki uwanjani ingekuwaje kama ile nafasi ya kushoto angecheza 11 Gadiel michael , tatu zimbwe.......namba 7 kapombe...mbili Israel Mwenda kwani kingeharibika nini
Yaani itumike hata champions league wana uwezo wote wa kupanda na kuzuia kwani lazima kina peter banda?
Any way labda tunahitaji akili mpya nasikia mzungu kila siku anatishia kuondoka anabembelezwa , Mugalu anakosa magoli anacheka na kutafuna jojo TUAMKE SASA MASHABIKI WA SIMBA TUWE AGGRESIVE NDIYO TUNAWAPENDA MO NA BARBARA ILA SASA HALII INAPOELEKEA MAZOEA YANAAANZA KUWA MABAYA CHUKUENI HATUA KAMA VIPI MZUNGU NA KIPENZI CHAKE SIJUI MPENZI WAKE MUGALU WASEPE
Tatizo sio hao, tatizo ni Chama.
Kumbukeni Chama alipopatwa na matatizo Ismba iliyumba sana kwa kitoa droo na pia kufungwa, nadhani hakuna mwchi walizoshinda mpaka aliporudi ndio Simba ikaanza kushinda.
Hapana huna kumbukumbu, Chama alipofiwa Simba tulishinda mechi zote tatu ambazo hakuwepo. Mechi hizo zilikuwa na dhidi ya Namungo ugenini,Polisi Tanzania(CCM Kirumba) na JKT Ruvu (CCM Kirumba).Tatizo sio hao, tatizo ni Chama.
Kumbukeni Chama alipopatwa na matatizo Ismba iliyumba sana kwa kitoa droo na pia kufungwa, nadhani hakuna mwchi walizoshinda mpaka aliporudi ndio Simba ikaanza kushinda.
Uko sahihi, kocha ni Kama ameishiwa mbinu kabisa.we mjinga concern yetu kubwa ni champions league na kocha kuchanganyikiwa sababu ya mapengo mawili na kukazania kumtumia mjinga mugalu usijifanye kama huoni concerns zetu