Gomez Da Rosa and Chris Mugalu out, imetosha

Siamini Kama Wachezaji waliosajiliwa wapya Ni mbadala wa wale wa2 waliouzwa kwenye kutengeneza na kufunga magoli kuziba madhaifu sugu ya Mugalu.

Ni Wachezaji wazuri wanaonekana.Ila kucheza na striker but Kama Mugalu itatuwia vigumu mno
 
Wakati ule tunasema Mugalu ni average player wa kuwafunga wakina Mwadui na sio key player wa match kubwa na kuamua matokeo ya timu mlikuwa mnatuambia sisi hatujui wachezaji wazuri,na ikatokea Mugalu akafunga magoli kwa hizi timu ndogo mkawa mnakuja hapa kumpamba na kusema hakuna mwingine kama yeye but leo hii ndio mnamuona galasa,acheni unafiki enyi mambumbumbu fc.
 
Mshauza timu alafu muwe aggressive? Hahaha....mo saivi anafanya anachotaka anaweza hata chukua mtu kiwandani kule akamleta awe namba 9 wenu na hamna la kumfanya
Nina wasiwasi dirisha dogo akawaletea Muhindi mmoja kutoka Kiwandani kwake na kusema huyu ni mshambuliaji hatari kutoka Brazil.
 
Mashabiki wa Simba punguzeni munkari...kwenye msimu wa mashindano timu itaimarika.
 

maono yako na ya kwangu yapo sawasawa kabisa,yaan wale nilivyowatizama maumbo yao kwakwel nilijisemea "moyon"hapa ngoja tuone
 
Uzi was KIPUUZI unadhani Simba iko kwa ajili ya kuifunga Yanga au kubeba makombe ya KUKU
 
Uzi was KIPUUZI unadhani Simba iko kwa ajili ya kuifunga Yanga au kubeba makombe ya KUKU
we mjinga concern yetu kubwa ni champions league na kocha kuchanganyikiwa sababu ya mapengo mawili na kukazania kumtumia mjinga mugalu usijifanye kama huoni concerns zetu
Na yes kuwafunga yanga ni muhimu sana unaweza kunijibu ni kwa nini jana Dilunga alitoka na kusababisha Djuma shabni kuwa free akaanza kumsumbua zimbwe naye akatolewa tena?
Unaweza kunijibu ni kwa nini Farid alimsumbua sana kapombe hadi shomari kibwana naye akawa free? naturally kibwana siyo namba 3 utopolo kwa sasa wana shida left back ilitakiwa dilunga au mhilu aende kule kumkimbiza , 11 acheze Kibu USITETEEE UJINGA KOCHA KACHANGANYIKIWA HAJUI HATA ANAFANYA NINI
Tuko concerned na mengi sana
 
Tatizo sio hao, tatizo ni Chama.

Kumbukeni Chama alipopatwa na matatizo Ismba iliyumba sana kwa kitoa droo na pia kufungwa, nadhani hakuna mwchi walizoshinda mpaka aliporudi ndio Simba ikaanza kushinda.
 
Ila kweli mkuu siioni simba ya kina sakho na Mugalu ikifika mbali
 
Mugalu sio wa kumchezesha derby ni mpuuz anachez kW pressure tu
 
A
Tatizo sio hao, tatizo ni Chama.

Kumbukeni Chama alipopatwa na matatizo Ismba iliyumba sana kwa kitoa droo na pia kufungwa, nadhani hakuna mwchi walizoshinda mpaka aliporudi ndio Simba ikaanza kushinda.

Tatizo sio hao, tatizo ni Chama.

Kumbukeni Chama alipopatwa na matatizo Ismba iliyumba sana kwa kitoa droo na pia kufungwa, nadhani hakuna mwchi walizoshinda mpaka aliporudi ndio Simba ikaanza kushinda.
Hapana huna kumbukumbu, Chama alipofiwa Simba tulishinda mechi zote tatu ambazo hakuwepo. Mechi hizo zilikuwa na dhidi ya Namungo ugenini,Polisi Tanzania(CCM Kirumba) na JKT Ruvu (CCM Kirumba).
 
Uko sahihi, kocha ni Kama ameishiwa mbinu kabisa.
 
Kwaiyo unataka Simba iwe inashinda kila mechi.
Simba ya mwaka huu inakikosi bora kuliko mwaka jana,mashabiki wa Simba wenye kujua soka tunamatumaini makubwa sana msimu huu,kufungwa ni sehemu tu ya mchezo.
 
Watu mnaona Mugalu anakosa sana magoli.Lakini hamjajua tofauti Kati ya Kagere na Mugalu.

Mugalu anakosa magoli lakini at least anajua jinsi ya kujiposition ndio maana anapata nafasi nyingi. Kagere akipata clear chance huwa anafunga sawa, lakini kwake huwa ni ngumu kupata clear chance kwa sababu hajui kujiposition.

Nawahakikishia zile clear chance alizokosa Mugalu jana, angekuwa Kagere asingepata hata hizo chance.

Binafsi naona bora hata anayepata chance nyingi za kufunga, kuliko anayekimbia kimbia hovyo uwanjani kama kuku aliyekatwa kichwa na anastruggle sana kupata chance
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…