Gomez Da Rosa and Chris Mugalu out, imetosha

Yaani upate chance 5 usifunge hata moja ubora wake upo wapi hapo zaidi ya kutuumiza mashabiki halafu usilete dharau kwa kagere kiasi hicho kama hujui uwezo wake wa kufunga ulivyo mkubwa
Wanasema Muga anajua jinsi ya kijiposition.
Na kuhold mipira
Na kukaba mabeki wa timu pinzani
Hayo ndiyo majukumu yake.
Ninavyo kumbuka mechi zote za CAF msimu uliopita alifunga goli moja tu la Penati dhidi ya AS.Vita
Kongo.
Mechi nyingine zote alikuwa anajiposition.
 
alifunga mawili na la el merreikh hapa dsm ila jamaa ni liability sana wala siyo wa kumtegemea
 
Kila timu hufungwa, mpira wa Miguu ni mchezo wa makosa, sioni tatizo la kocha wala mugalu.

Mechi ya simba na Yanga ina mambo mengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…