Gone Too Soon: RIP JF Member.....Chetuntu!!!

dah inauzunisha sanaaa, pole kwa wafiwa na Mungu awape faraja yake na kum2nza mtoto alie muacha.
 
Poleni sisi sote wana JF. Poleni sana familia ya marehemu. Wakati huu wa majonzi tukumbuke kumshukuru Mungu kwa kutupa Chetuntu kwa kipindi chote cha uhai wake. BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA, JINA LA BWANA LIBARIKIWE!

<br />
<br />
 
Very Sad. May the Almighty God Rest Your Soul in Eternal Peace. Amen
 
oooooh, jamani jamani jamani, moyo wangu moyo wangu, yaaaaaahhh!

yah yah yah, huzuni kuuu.

Mwenyezi Mungu ailaze roho ya Marehemu Chetundu mahali pema pepon amina!

NCHI NZURI YAMETAMETA
1. Nchi nzuri yametameta
huonekana kule mbali
naye Yesu hutuongoza
tukafike na sisi huko


si mbali karibu

tutaimba na sisi huko X 2
.

2.
Kule tutawaona wengi

wapendwao na Bwana Yesu

tutashirikiana nao
itakuwa furaha kubwa

si mbali&#8230;

3. Tutamwona na Bwana wetu
Yesu Kristo mwokozi wetu
tutashangilia daima
tuna hamu ya kwenda kwetu

si mbali&#8230;.


Mpendwa asprin ubarikiwe sana kwa taarifa na (kwa kweli) kwa namana ulivyowasilisha. inagusa sana nyoyo!

Bwana alitoa na Bwana ametwaa
JINA LA BWANA LIBARIKIWE
 
Chetuntu tangulia dada, kuondoka kwako kumetuachia majonzi makubwa familia yako na hata sie wanaJF. Tulikupenda sana lakini MUNGU alikupenda zaidi Chetuntu. You will be missed mpendwa.
 
Mola aipumzishe roho yake mahala pema. Yatosha kuwa mawaidha kwetu tuliobaki.
 
Masikini sikujua dada B ndiye Chetuntu!Kwakweli msiba wake umeleta pengo kubwa sana Kigoma; she was a great person, friend and a hardworker! Mungu ailaze mahali pema roho yake!Amina!
 
Mungu ailaza roho yake mahala pema na mwanga wa milele amuangazie, ampe pumziko la moyo. tutakukumbuka daima dear.
 
Mungu ailaze roho yake mahala pema na mwanga wa milele amuangazie, ampe pumziko la moyo. tutakukumbuka daima dear.
 
JF has lost a very special person, and will never be able to fill the void that has been left behind. May God bless her soul and complete all her wishes.

Heartfelt condolences,

MaxShimba
 
oh this is real sad,
Mungu pekee ndiye awezaye kutoa faraja ya kweli, Mungu awape faraja na awatie nguvu familia na marafiki, na Mungu amkuze mwanaye kwa upendo mkuu. Amen
 
Mods: kuna thread nimeanzisha ni kitoa wazo la namna ya kumuenzi dada yetu Chetuntu lakini sielewi kwa nini imeunganishwa na ile ya JF ITOE POLE KWA WAFIWA WA ZANZIBAR! Case ya dada yetu ni tofauti kabisa so ningeomba muirudishe mlikoitoa kwa hakuna uhusiano kati ya kifo cha Chetuntu na ajali ya Nungwe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…