Gone Too Soon: RIP JF Member.....Chetuntu!!!

Ahsante na pole pia shem....... Inauma sana aisee!
 
RIP... Mpendwa... Mungu atangulize huruma yake kwake.na asiangalie dhambi zake..!!
 
Kifo, tena cha uzazi....Ni kitu kigumu sana kwani kapoteza maisha yake akipigania uhai wa mtu mwingine,

Mungu ailaze Roho yake mahali pema peponi, Amina!!
 
Poleni wote ,pia jamani ni vizuri kuambiana haya majina ya bandia tunayotutumia hapa hata kwa rafiki yako mmoja au wawili ili Mungu akitupumuzishe mahala pa milele watakobaki wafahamu kuwa mwana JF fulani hayupo nasi tena
 
hivi Menyidyo.....hebu leo tuweke utani pembeni.......
ina maana kuna mtu anaweza kuweka utani wa namna hii?....
Nimemshangaa sana kwakweli............ Sana!
 
Dah, naikumbuka avatar yake!! RIP Chetuntu, Mungu kakupenda zaidi, Duni HII NI YA MATES NENDA KAPUMZIKE.
 
Poleni wote ,pia jamani ni vizuri kuambiana haya majina ya bandia tunayotutumia hapa hata kwa rafiki yako mmoja au wawili ili Mungu akitupumuzishe mahala pa milele watakobaki wafahamu kuwa mwana JF fulani hayupo nasi tena

panua wigo mkuu....watu tunafahamiana wengi sana humu ndani......incase of emergency.....
 
Dah! inanikumbusha mbali sana hii hari ya dada yetu mpendwa,poleni wana familia wote na Mungu akulaze mahala pema peponi ameen.
 
Kwa nini aliamua kuandika hayo hapo (blue)???

Masikini ameishia njiani (just missed a step) kabla ya kufika hiyo ward ya mavuno na furaha!!

I am speechless!!
Mzee mwenzangu, haya mambo huwa yananishangazaga......... Sijui kwanini aliamua location yake iwe huko.....Sijui bana!
 
Nimemshangaa sana kwakweli............ Sana!

Msamahe bure mzee mwenzangu,

Labda ni mtani wake....!!!

Kwenye watu wazima (medically, mentally and psychologically) lazima na wenye mtatizo wapo tu!
 
Kwa nini aliamua kuandika hayo hapo (blue)???

Masikini ameishia njiani (just missed a step) kabla ya kufika hiyo ward ya mavuno na furaha!!

I am speechless!!

DC, i had the same feeling, mara nyingi huwa kuna signs nyingi tu na hatuzisomi

I have met this lady ila kwenye kazi na sikujua kumbe ndiye chetuntu

AND YOU KNOW WHAT?? SHE WAS SERVING PEOPLE IN NEED, KAZI YA WITO

NA MUNGU KAPENDA UA LAKE

what a sad day today
 
Msamahe bure mzee mwenzangu,

Labda ni mtani wake....!!!

Kwenye watu wazima (medically, mentally and psychologically) lazima na wenye mtatizo wapo tu!
Na kweli bana, acha sisi marehemu watarajiwa tuendelee kumwombea Marehemu Beatrix Benny aka Chetuntu alazwe pema peponi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…