Dunia ya tatu ukiwa mjazito basi mguu mmoja kaburini mwingine duniani.So sad she wanted to give life instead she has lost hers[/QUOTE
We acha tu mimi huyu dada ni mtu wa pili yaani ninaowafahamu kabisa ndani ya mwezi huu mmoja wamefariki kisa uzazi, nimechoka kabisa hapa wamama tuna tabu ni Mungu tu aingilie kati.
DC, i had the same feeling, mara nyingi huwa kuna signs nyingi tu na hatuzisomi
I have met this lady ila kwenye kazi na sikujua kumbe ndiye chetuntu
AND YOU KNOW WHAT?? SHE WAS SERVING PEOPLE IN NEED, KAZI YA WITO
NA MUNGU KAPENDA UA LAKE
what a sad day today
Kwa nini aliamua kuandika hayo hapo (blue)???
Masikini ameishia njiani (just missed a step) kabla ya kufika hiyo ward ya mavuno na furaha!!
I am speechless!!
Mwacheni MAMA AITWE MAMA!Hivi vifo wakati wa kujifungua vinahuzunisha sana...Mwaka jana tulimpoteza mfanayakazi mwenzetu ambaye alitoka damu nyingi baada ya kufanyiwa operation. Wakati mume wake anatolewa damu yeye akaaga dunia...na pia mtoto alifariki...It was so traumatic kiasi kwamba huwa sipendi kumuona mume wake na watoto 2 aliowaacha hai...Hata daktari aliyemfanyia operation alichanganyikiwa!!
Nasikia dini nyingine zinaamini kuwa kuzaa ni nusu ya kufa........Kama kweli hili tungelikumbuka siku zote basi tungewaheshimu mama zetu waliotuzaa na wake zetu waliotupatia watoto!!
Ngoja nikapumzike kwanza...I have been deeply touched......!!
Babu DC!
We acha tu mimi huyu dada ni mtu wa pili yaani ninaowafahamu kabisa ndani ya mwezi huu mmoja wamefariki kisa uzazi, nimechoka kabisa hapa wamama tuna tabu ni Mungu tu aingilie kati.