Gongo ipi Nzuri!

Gongo ipi Nzuri!

Masanilo

Platinum Member
Joined
Oct 2, 2007
Posts
22,286
Reaction score
4,523
Jamani gongo ipi nzuri! Kigoma, Mwanza na Shinyanga wanatengeneza za mihogo! Kagera wao wanatengeneza za Ndizi. Wale wa mkoa wa Mara wanatengeneza gongo la mapapai na mavi! Morogoro wao wanapika gongo la miwa AMA sukari guru ! Pwani wao gongo Lao la mananasi. Nimejaribu zote ila gongo la Mwanza nililipenda sana kule kwenye vilima vya Bugando!
 
mmhhhh haiko hapo lakini mi na zani piwa huko Arusha/Manyara.....
halafu nasikia siku hizi wanaweka minyaa............
 
Jamani gongo ipi nzuri! Kigoma, Mwanza na Shinyanga wanatengeneza za mihogo! Kagera wao wanatengeneza za Ndizi. Wale wa mkoa wa Mara wanatengeneza gongo la mapapai na mavi! Morogoro wao wanapika gongo la miwa AMA sukari guru ! Pwani wao gongo Lao la mananasi. Nimejaribu zote ila gongo la Mwanza nililipenda sana kule kwenye vilima vya Bugando!

sina utaalum wa lipi ni zuri lkn hilo kwenye red mmh!
 
sina utaalum wa lipi ni zuri lkn hilo kwenye red mmh!

Hahahah ina bidi ujaribu zote kwa kuanzia na namba tatu pole pole unasogea Gongo namba 2 na hatimaye namba 1. Halafu asubuhi unashushia supu ya ngozi
 
Inafanana kwa rangi ila sidhani kama ni kitu kimoja....yenyewe ni kimiminika!

OK. Nadhani pia Moshi wanachanganya na mavi! Maana vyoo vilivyojaa kule ni dili sana
 
Hahahah ina bidi ujaribu zote kwa kuanzia na namba tatu pole pole unasogea Gongo namba 2 na hatimaye namba 1. Halafu asubu unashushia supu ya ngozi

si mchezo.
eti naskia gongo ukikonda ndio ujue imekupenda lkn ikikunenepesha ujue mauti hayoko mbali.
 
Ndivyo mama muuza wako anavyokudanganya ehhhh??

Mama muuza wangu yuko juu! hutoa ushauri na nasaha kwa wanywaji wake! Ukiwa mteja wa muda mrefu basi hata supu hulipi
 
Back
Top Bottom