Pale stendi ni maeneo gani nikahakikishe mwenyeweNawasalimu.
Pale gongo la mboto mwisho ikishafika saa moja jioni wanaanza kujitokeza kwenye vichochoro vyao na nguo za kuamsha hisia.
Utasikia "Shemeji nimekupenda ulivyo mrefu mweusi, njoo basi nikupe utamu"
Yaani unaweza kuvunjiwa heshima hivihivi unaona, Tena sasahv wamejaa wale XXL sio tena medium na slim fit.
Ni hapo gongo la mboto mwisho karibu na baa fulani kubwa tu (sio vema kuitaja jina)
Wenye mamlaka, Chukueni hatua stahiki, Vijana wetu wadogo wanapitia hali ngumu sana.
Hahah! Location haijasomeka vyemaPale stendi ni maeneo gani nikahakikishe mwenyewe
Hakikisha umewafurusha wote ili uchukue tuzo ya kiungo bora wa mwezi.Pale stendi ni maeneo gani nikahakikishe mwenyewe
Huu upweke niliokua nao mwanamke yoyote akinisifia kama hivo lazima nimpe chochote anachokitaka. I miss kusifiwa na kuhitajika ebu toa maelezo vizuri niende.Nawasalimu.
Pale gongo la mboto mwisho ikishafika saa moja jioni wanaanza kujitokeza kwenye vichochoro vyao na nguo za kuamsha hisia.
Utasikia "Shemeji nimekupenda ulivyo mrefu mweusi, njoo basi nikupe utamu"
Yaani unaweza kuvunjiwa heshima hivihivi unaona, Tena sasahv wamejaa wale XXL sio tena medium na slim fit.
Ni hapo gongo la mboto mwisho karibu na baa fulani kubwa tu (sio vema kuitaja jina)
Wenye mamlaka, Chukueni hatua stahiki, Vijana wetu wadogo wanapitia hali ngumu sana.
Nakuelewa mkuu. Sikumbuki mara ya mwisho kusifiwa lini,sisi wanaume tunapenda pia kusifiwa jinsi tulivo sio kusifiwa utafutaji wetu au pesa zetu. I love my women anisifie hata nyusi zangu na vidole vyangu virefu vilivo vizuri. Uko wapi Zubeda wangu i miss youu 😭😭Huu upweke niliokua nao mwanamke yoyote akinisifia kama hivo lazima nimpe chochote anachokitaka. I miss kusifiwa na kuhitajika ebu toa maelezo vizuri niende.
Ww umeandika "MADADA POA"Biashara gani