KERO Gongo la Mboto mwisho ni chimbo la madada poa mchana kweupe. Wenye mamlaka mliangalie na mfuatilie

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Nakuelewa mkuu. Sikumbuki mara ya mwisho kusifiwa lini,sisi wanaume tunapenda pia kusifiwa jinsi tulivo sio kusifiwa utafutaji wetu au pesa zetu. I love my women anisifie hata nyusi zangu na vidole vyangu virefu vilivo vizuri. Uko wapi Zubeda wangu i miss youu 😭😭
Mkuu kunywa maji kwanza
 
Nawasalimu.

Pale Gongo la Mboto mwisho ikishafika saa moja jioni wanaanza kujitokeza kwenye vichochoro vyao na nguo za kuamsha hisia.

Utasikia "Shemeji nimekupenda ulivyo mrefu mweusi, njoo basi nikupe utamu"

Yaani unaweza kuvunjiwa heshima hivihivi unaona, Tena sasahv wamejaa wale XXL sio tena medium na slim fit.

Ni hapo gongo la mboto mwisho karibu na baa fulani kubwa tu (sio vema kuitaja jina)

Wenye mamlaka, Chukueni hatua stahiki, Vijana wetu wadogo wanapitia hali ngumu sana.
Wana charge bei gani kwani?
 
Pugu boys stand up!!

Ila siku hizi nasikia wamezungushia ukuta shule nzima poleni sana wadogo zangu ku drop kupata vitu kama hivyo vya mtoa mada ndio basi tena.
 
Nawasalimu.

Pale Gongo la Mboto mwisho ikishafika saa moja jioni wanaanza kujitokeza kwenye vichochoro vyao na nguo za kuamsha hisia.

Utasikia "Shemeji nimekupenda ulivyo mrefu mweusi, njoo basi nikupe utamu"

Yaani unaweza kuvunjiwa heshima hivihivi unaona, Tena sasahv wamejaa wale XXL sio tena medium na slim fit.

Ni hapo gongo la mboto mwisho karibu na baa fulani kubwa tu (sio vema kuitaja jina)

Wenye mamlaka, Chukueni hatua stahiki, Vijana wetu wadogo wanapitia hali ngumu sana.
Unaongea kwa mafumbo hata kudiriki kusema si vema kupataja mahali husika. Aidha unataka wenye mamlaka wachukue hatua. Hao wenye mamlaka watapajuaje hapo mahali? Kama huko tayari kupataja mahali husika, mada yako inabakia kuwa majungu na bora ukae kimya makosa yaendelee.
 
Nawasalimu.

Pale Gongo la Mboto mwisho ikishafika saa moja jioni wanaanza kujitokeza kwenye vichochoro vyao na nguo za kuamsha hisia.

Utasikia "Shemeji nimekupenda ulivyo mrefu mweusi, njoo basi nikupe utamu"

Yaani unaweza kuvunjiwa heshima hivihivi unaona, Tena sasahv wamejaa wale XXL sio tena medium na slim fit.

Ni hapo gongo la mboto mwisho karibu na baa fulani kubwa tu (sio vema kuitaja jina)

Wenye mamlaka, Chukueni hatua stahiki, Vijana wetu wadogo wanapitia hali ngumu sana.
Leo tena ana Kanyigo?
 
Panachuana na Buza.. Siku hizi yake machimbo ya zamani yanakufa
 
Kuna mchungaji alisikika akisema ni kwaajili ya vikao vya dharura
 
Panachuana na Buza.. Siku hizi yake machimbo ya zamani yanakufa
Nakumbuka 2017 hapo palipokuwa bar ya gaddafi lilikuwa chimbo hatari , sijui kama bi aisha yupo ndio chimbo pekee nishawai ona unapimwa ukimwi na std kabla hujapewa tunda .
 
Back
Top Bottom