Kajunjumelle
JF-Expert Member
- Aug 13, 2024
- 220
- 239
Kumbe saa moja jioni napo ni mchana kweupe!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chalamila na Bomboko pamoja na viherehere vyao walishindwa kuwashughulikia wewe nani mpaka uweze. Uzembe wa serikali kutengeneza ajira kwa hao wadada unasababisha watumike huko chini ili waweze kupata chakula na mahitaji mengine ya msingi kwa wao na familia zao.Hao watu wanakera na wanaharibu jamii,nimekasirika sana ebu nipe jina la hiyo baa tuwashughulikie.
Sikia ninachosema ni ukweli mtupu kwa sababu za kibiashara nashindwa kutaja jina la mtu wala biashara yake. Wewe fanya research fupi tu, nenda hadi gongo la mboto mwisho kabisa mida ya kuanzia saa moja, mtafute kijana yeyote muulize hilo swali.Unaongea kwa mafumbo hata kudiriki kusema si vema kupataja mahali husika. Aidha unataka wenye mamlaka wachukue hatua. Hao wenye mamlaka watapajuaje hapo mahali? Kama huko tayari kupataja mahali husika, mada yako inabakia kuwa majungu na bora ukae kimya makosa yaendelee.
Chalamila kafanikiwa kuwatoa wahaya pale mwananyamala. Sasa hivi ustaarabu upo atleast.Chalamila na Bomboko pamoja na viherehere vyao walishindwa kuwashughulikia wewe nani mpaka uweze. Uzembe wa serikali kutengeneza ajira kwa hao wadada unasababisha watumike huko chini ili waweze kupata chakula na mahitaji mengine ya msingi kwa wao na familia zao.
Una dalili mbaya sana mzee mtoto wa kiume unaogopa mademu? Eti ukiitwa upige show basi wamekuvunjia heshima?Nawasalimu.
Pale Gongo la Mboto mwisho ikishafika saa moja jioni wanaanza kujitokeza kwenye vichochoro vyao na nguo za kuamsha hisia.
Utasikia "Shemeji nimekupenda ulivyo mrefu mweusi, njoo basi nikupe utamu"
Yaani unaweza kuvunjiwa heshima hivihivi unaona, Tena sasahv wamejaa wale XXL sio tena medium na slim fit.
Ni hapo gongo la mboto mwisho karibu na baa fulani kubwa tu (sio vema kuitaja jina)
Wenye mamlaka, Chukueni hatua stahiki, Vijana wetu wadogo wanapitia hali ngumu sana.
HahahaUna dalili mbaya sana mzee mtoto wa kiume unaogopa mademu? Eti ukiitwa upige show basi wamekuvunjia heshima?
pumbav!!! wewe unataka tupone wapi!!!!??????????????????Nawasalimu.