KERO Gongo la Mboto mwisho ni chimbo la madada poa mchana kweupe. Wenye mamlaka mliangalie na mfuatilie

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Hao watu wanakera na wanaharibu jamii,nimekasirika sana ebu nipe jina la hiyo baa tuwashughulikie.
Chalamila na Bomboko pamoja na viherehere vyao walishindwa kuwashughulikia wewe nani mpaka uweze. Uzembe wa serikali kutengeneza ajira kwa hao wadada unasababisha watumike huko chini ili waweze kupata chakula na mahitaji mengine ya msingi kwa wao na familia zao.
 
Sikia ninachosema ni ukweli mtupu kwa sababu za kibiashara nashindwa kutaja jina la mtu wala biashara yake. Wewe fanya research fupi tu, nenda hadi gongo la mboto mwisho kabisa mida ya kuanzia saa moja, mtafute kijana yeyote muulize hilo swali.
 
mkuu, kwa haraka haraka wanaweza fika 400 kwa idadi?,..🤔🤔
 
Chalamila kafanikiwa kuwatoa wahaya pale mwananyamala. Sasa hivi ustaarabu upo atleast.
 
Una dalili mbaya sana mzee mtoto wa kiume unaogopa mademu? Eti ukiitwa upige show basi wamekuvunjia heshima?
 
Hao wanazua taharuki na kukiuka mila na desturi zetu za kitanzania.. nakuomba ewe mzalendo toa maelekezo vizuri ili tutunze vyema TUNU za taifa letu tukufu..
Toa location ya uhakika bei zao, na bar ambayo huwepo leo ijumaa niende nikasurvey
 
pumbav!!! wewe unataka tupone wapi!!!!??????????????????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…