Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,480
- 7,443
Sio povu, ni ukweli anachanganya watu.Wachana na chuki kwa Mhe. Doroth Gwajima. Naona unamtolea povu wiki ya tatu sasa.
Nguvu nyingi akili kidogo.binafsi namuonaga huyo mh kama dishi limeyumba, huwa anatumia nguvu kubwa mno kutaka kumfurahisha Jiwe!.
Daladala? Leo kurasini umeshudia nini?Ukiona daladala bado msongamano, kujazana na kubanana ni kama kawaida tena bila barakoa!!!
Country bumpkins.This Gwajima lady is such a letdown!
Elimu ya kutosha, tamko moja kuchukua tahadhali haitoshi.Mshaambiwa mchukue tahadhari
Mnataka nini tena
Ova
Field marhsal wa health administration .huku akiwa hajui lolote Kwenye afya pamoja na kukaa kote hukobinafsi namuonaga huyo mh kama dishi limeyumba, huwa anatumia nguvu kubwa mno kutaka kumfurahisha Jiwe!.
Mtasimsingizia mkuu wa kaya.Tatizo jamaa yetu pale juu vyeo vyote vyake. Hawa wateule wapo kama boshen tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣Country bumpkins.