Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,930
Huyu kaja kuiua hii wizaraNimepigwa na butwaa kusikia Waziri wa Afya akisema kuwa matamko juu ya Covid 19 basi. Maana viongozi wakuu wameshatoa matamko sasa kila mtu achukue wajibu wa kujilinda...
Hawa watu ni kama vile wako Nolywood wanajaribu kuandika scripti ya muvi wasiyoijua! Mheshimiwa wa Mbeya yeye anasema serikali imetumia pesa nyingi sana kujenga hosipitali hivyo zinatakiwa zijae wagonjwa!Nimepigwa na butwaa kusikia Waziri wa Afya akisema kuwa matamko juu ya Covid 19 basi. Maana viongozi wakuu wameshatoa matamko sasa kila mtu achukue wajibu wa kujilinda..
Fanya utuchanganyue sasa, maana mheshimiwa Waziri katuchanganya[emoji1787]Sio povu, ni ukweli anachanganya watu.
Huyu Rc hayupo sawa kiakili.Hawa watu ni kama vile wako Nolywood wanajaribu kuandika scipti ya muvi wasiyoijua! Mheshimiwa wa Mbeya yeye anasema serikali imetumia pesa nyingine sana kujenga hosipitali hivyo zinatakiwa zijae wagonjwa!
Tahadhari zipi....!!?Mshaambiwa mchukue tahadhari
Mnataka nini tena
Ova
Ingekuwa hivyo mahubiri/mawaidha yasingetolewa basi watu si wanajua nn makosa mbele ya mungu mbona wanahubiriwa lila siku????Mbona ukimwi watu wanakumbushwa kila siku kujikinga, huyu mama analichukulia hili swala la corona lightly.
Ni mgum Sana kumuelewa huyu mama, mfano anakuja na HOJA kwamba Kuna ubadhilifu wa dawa, hivi kwani kabla ya yeye hapakuepo mawazari ,au ndo ile kuona yeye ni mchapa kazi kuliko watangulizi wake, anaivuruga Sana wizara hii,Nimepigwa na butwaa kusikia Waziri wa Afya akisema kuwa matamko juu ya Covid 19 basi. Maana viongozi wakuu wameshatoa matamko sasa kila mtu achukue wajibu wa kujilinda.
Hivi hili gonjwa linahitaji matamko au elimu endelevu na kukumbusha wananchi kuwa makini mara kwa mara?
Wewe kama waziri mwenye dhamana na afya za Watanzania, unalichukulia vipi hili gonjwa?
Kwamba waziri mkuu na rais wakisema watu wavae barako na kunawa mikono ndio inatosha?
Wewe ni mwenye dhamana na afya za Watanzania, kuwa makini na jinsi unavyolichukulia poa hili gonjwa
Amna mtu anayeiba dawa za serikali ni hapo mtu amesashu kudocmetn akamapa mgonjwa dawa basi huo ni wiziNi mgum Sana kumuelewa huyu mama, mfano anakuja na HOJA kwamba Kuna ubadhilifu wa dawa, hivi kwani kabla ya yeye hapakuepo mawazari ,au ndo ile kuona yeye ni mchapa kazi kuliko watangulizi wake, anaivuruga Sana wizara hii,
Tatua tatizo kwanza lililo mbele YAKO ndo uje na lingine,hii formula viongozi wetu huwa hawajui ? Na shule walienda fanya nini?
Mama wizara ilisha mshinda
Hawaelewi mkuu ,wapo kutafuta sifa, uteuzi wa wizara nyeti mfano afya sio wakufanya haraka, mtu analeta siasa za ajabu Mara utasikia eti kila kituo kiwe na ilani ya chama,so ilani ndo inatibu wagonjwa, Mambo ya ajabu Sana yanatokea tz,Amna mtu anayeiba dawa za serikali ni hapo mtu amesashu kudocmetn akamapa mgonjwa dawa basi huo ni wizi