Gonjwa la ngono

Gonjwa la ngono

ahsante sana
Una picha ya huyo demu? Tuma picha tuone tujue namna ya kukushauri accordingly. Anafanana na yupi Kati ya hawa??
IMG-20240902-WA0065.jpg
IMG-20240902-WA0056.jpg
 
Kila jumatatu huwa haipiti salama bila kuwa na visa vya mapenzi vya weekend! Duh wewe nawe hata huumwi ni wasiwasi wako Tu. Ndio ujinga wa Ngono, the moment ukimaliza ndio akili zinakurudia
Unajua leo hadi nmerud mapema kutoka ofisin
 
Samahanini wakuu. Ijumaa usiku nilifanya ngono sna na mwanamke mmoja sasa hali imenobadilikia jpil na leo yaan napata Homa kali usiku na maumivu ya kichwa kwa kipindi cha mchana ,pia nimetoka ka kipele kwenye sehemu ya nywele za sehem za siri na mwisho kama vimaumivu vidogo sana napata nikiwa na nikimaliza kukojoa. Msaada wenu huu utakua ugonjwa gan?
Hii ni ngoma phase I, hatua ya pili kichwa kitakuwa cha moto kama pasi.
 
Back
Top Bottom