RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Inashangaza sana.Usijifanye wewe ndio una akili pekee, mtu hadi afikie kumpa mgonjwa soda flani ujue wameshauriwa na daktari.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inashangaza sana.Usijifanye wewe ndio una akili pekee, mtu hadi afikie kumpa mgonjwa soda flani ujue wameshauriwa na daktari.
Hata wenye kisukari wanaweza pata hypoglycemia mkuu, so inawekana kabisa akapewa soda na akagida vizuri tu.Kisukari gani umpe soda cha kupanda au kushuka? Hizi elimu mitaan hiz Mtawaua mam zenu nyieeee uje umpe soda akiwa na sukari yakupanda unialike msiban
Aliwahi kunisimulia rafiki yangu wakati bado mdogo mama yake aliumwa wakampeleka hospital hajitambui, kufika hospitali daktari akasema awekewe drip. Nurse akaandaa drip fulani, rafiki yangu kwasababu anajua mama yake ni diabetic akamkatalia nurse asiweke drip hio ndipo nurse akamuuliza kwanini akamwambia kwasababu mama yangu ana kisukari! Nurse akawa mpole, bila kuhoji yule mama alikuwa anakufa mapema kwa makosa ya nurse.
Kwahio si kila jambo ukubali tu kisa ni mtaalam kasema hata wao huwa wanapitiwa na wana mambo mengi kama binadamu wengine.
Hapo kosa sio la Nurse ni huyo doctor aliesema liletwe drip bila kuwa na full history ya Mgonjwa.Aliwahi kunisimulia rafiki yangu wakati bado mdogo mama yake aliumwa wakampeleka hospital hajitambui, kufika hospitali daktari akasema awekewe drip. Nurse akaandaa drip fulani, rafiki yangu kwasababu anajua mama yake ni diabetic akamkatalia nurse asiweke drip hio ndipo nurse akamuuliza kwanini akamwambia kwasababu mama yangu ana kisukari! Nurse akawa mpole, bila kuhoji yule mama alikuwa anakufa mapema kwa makosa ya nurse.
Kwahio si kila jambo ukubali tu kisa ni mtaalam kasema hata wao huwa wanapitiwa na wana mambo mengi kama binadamu wengine.
😂😂😂,,,,Au wamejizima data!Nimesema mtu anaejua status ya ndugu yake. Sio random. Jaribuni kutuliza vichwa kabla ya kuvamia comments za watu.
Kwahiyo mgonjwa wa diabetic hawekew drip? Usipende kuhitimisha mambo ambayo huna utaalam nayo.Aliwahi kunisimulia rafiki yangu wakati bado mdogo mama yake aliumwa wakampeleka hospital hajitambui, kufika hospitali daktari akasema awekewe drip. Nurse akaandaa drip fulani, rafiki yangu kwasababu anajua mama yake ni diabetic akamkatalia nurse asiweke drip hio ndipo nurse akamuuliza kwanini akamwambia kwasababu mama yangu ana kisukari! Nurse akawa mpole, bila kuhoji yule mama alikuwa anakufa mapema kwa makosa ya nurse.
Kwahio si kila jambo ukubali tu kisa ni mtaalam kasema hata wao huwa wanapitiwa na wana mambo mengi kama binadamu wengine.
Kwa hii point uko sahihi mkuu.Usijifanye wewe ndio una akili pekee, mtu hadi afikie kumpa mgonjwa soda flani ujue wameshauriwa na daktari.
🤣🤣🤣🤣 nna kaswende ninywe pepsi au coca?Kwa hii point uko sahihi mkuu.
Umeongelea soda nikakumbuka story ya shoga yangu wa chuo.
Yeye alikuwa akizimia zimia gafla, na akizimia tu soda ya fanta orange ndio pona yake.
Siku moja chuoni kulikuwepo mgomo mwenzetu alifariki so wanachuo vurugu kibao zikatulizwa na mabomu ya machozi.
Nilivyoona hizo vurugu nikaamua kuondoka chuoni kwenda nje ya chuo kwa ndugu yangu, na huyo shoga yangu alokuwa akizimia nikaenda nae, mara hiyo hali ikajitokeza nikaona nguvu zinaishia moyo unaenda mbio hawezi ongea tena. Hapo alikuwa hajaniweka wazi shida yake ni nini na dawa ni ipi.
So tukaanza kimpepea apate hewa huku tunaita tax kwenda hospital, Mara nikaona kama anaaza kufufuka😊 akatamka neno moja tu soda. Chuoni alikuwa na ka friji kale kadogo muda wote zimejaa fanta orange, so alivyosema soda nikazifata nne fasta, alikunywa mbili kuzimaliza tu akaanza kuongea baada ya muda akawa sawa.
Baada ya hiyo hali akaniweka wazi akaniambia siku akizmia nimpe soda kwanza na akanipa na no ya dada yake in case ikitokea shida.
Siku moja akatoka na bf wake huko club na alimficha hakuwahi mwambia shida yake, mara akazimia, niko chuo napigiwa simu saa 8 usiku akaniambi A kazimia kama ana kifafa vile, nikamwambia mpe fanta orange.
kaka wa watu alikuwa ashatetemeka balaa baada ya kumpa soda akawa sawa akamrudisha chuo. na alikuja kumuacha kisa hiyo zimia zimia.
Soda ni dawa😊
Jamny nani kasema watu wenye kisukari hawawekewi drip. Ndo maana kila kazi inamtaalamu ..Aliwahi kunisimulia rafiki yangu wakati bado mdogo mama yake aliumwa wakampeleka hospital hajitambui, kufika hospitali daktari akasema awekewe drip. Nurse akaandaa drip fulani, rafiki yangu kwasababu anajua mama yake ni diabetic akamkatalia nurse asiweke drip hio ndipo nurse akamuuliza kwanini akamwambia kwasababu mama yangu ana kisukari! Nurse akawa mpole, bila kuhoji yule mama alikuwa anakufa mapema kwa makosa ya nurse.
Kwahio si kila jambo ukubali tu kisa ni mtaalam kasema hata wao huwa wanapitiwa na wana mambo mengi kama binadamu wengine.
Acha kukurupuka kama nyumbu. Wenye akili za kawaida tu wamejua nini nimemaanisha.Kwahiyo mgonjwa wa diabetic hawekew drip? Usipende kuhitimisha mambo ambayo huna utaalam nayo.
Acha kukurupuka kama nyumbu.Jamny nani kasema watu wenye kisukari hawawekewi drip. Ndo maana kila kazi inamtaalamu ..
Kwahiyo soda Kwa wengine kinywaji Ila Kwa wengine dawa! Duu kazi kweli kweli,,,,hila huyo jamaa yke alikuwa na haki ya kuogopa maana jela nje nje aisee!Kwa hii point uko sahihi mkuu.
Umeongelea soda nikakumbuka story ya shoga yangu wa chuo.
Yeye alikuwa akizimia zimia gafla, na akizimia tu soda ya fanta orange ndio pona yake.
Siku moja chuoni kulikuwepo mgomo mwenzetu alifariki so wanachuo vurugu kibao zikatulizwa na mabomu ya machozi.
Nilivyoona hizo vurugu nikaamua kuondoka chuoni kwenda nje ya chuo kwa ndugu yangu, na huyo shoga yangu alokuwa akizimia nikaenda nae, mara hiyo hali ikajitokeza nikaona nguvu zinaishia moyo unaenda mbio hawezi ongea tena. Hapo alikuwa hajaniweka wazi shida yake ni nini na dawa ni ipi.
So tukaanza kimpepea apate hewa huku tunaita tax kwenda hospital, Mara nikaona kama anaaza kufufuka😊 akatamka neno moja tu soda. Chuoni alikuwa na ka friji kale kadogo muda wote zimejaa fanta orange, so alivyosema soda nikazifata nne fasta, alikunywa mbili kuzimaliza tu akaanza kuongea baada ya muda akawa sawa.
Baada ya hiyo hali akaniweka wazi akaniambia siku akizmia nimpe soda kwanza na akanipa na no ya dada yake in case ikitokea shida.
Siku moja akatoka na bf wake huko club na alimficha hakuwahi mwambia shida yake, mara akazimia, niko chuo napigiwa simu saa 8 usiku akaniambi A kazimia kama ana kifafa vile, nikamwambia mpe fanta orange.
kaka wa watu alikuwa ashatetemeka balaa baada ya kumpa soda akawa sawa akamrudisha chuo. na alikuja kumuacha kisa hiyo zimia zimia.
Soda ni dawa😊
Kabla ya kubishana mm nipo kwenye kada ya afya.. cjui ww mkuu.. labda kama maneno yaliotumika hapo hayajaendana ana malengo yangu. Embu fuatilia ugonjwa unaitwa Diabetic ketoacidosis afu tuongee kama ww msomaji mzurAcha kukurupuka kama nyumbu.
Kajipeleke mwenyewe kwa dactari, huna namna.🤣🤣🤣🤣 nna kaswende ninywe pepsi au coca?
🤣🤣😅😅😅😅 na baadhi ya wateja ukimuelezea matibabu anahisi haujiamini