Good doctor!

Good doctor!

Bongo kuna shida ya ujuaji kwenye taaluma za afya haswa upande wa dawa...

Ni kitu kizuri kuwa mfuatiliaji, lakini ni vyema zaidi kushauriana na daktari kama una mtazamo tofauti...

Daktari mzuri humsikiza mgonjwa kwa nia ya kujua historia...
 
Kisukari gani umpe soda cha kupanda au kushuka? Hizi elimu mitaan hiz Mtawaua mam zenu nyieeee uje umpe soda akiwa na sukari yakupanda unialike msiban
Hata wenye kisukari wanaweza pata hypoglycemia mkuu, so inawekana kabisa akapewa soda na akagida vizuri tu.
 
Aliwahi kunisimulia rafiki yangu wakati bado mdogo mama yake aliumwa wakampeleka hospital hajitambui, kufika hospitali daktari akasema awekewe drip. Nurse akaandaa drip fulani, rafiki yangu kwasababu anajua mama yake ni diabetic akamkatalia nurse asiweke drip hio ndipo nurse akamuuliza kwanini akamwambia kwasababu mama yangu ana kisukari! Nurse akawa mpole, bila kuhoji yule mama alikuwa anakufa mapema kwa makosa ya nurse.
Kwahio si kila jambo ukubali tu kisa ni mtaalam kasema hata wao huwa wanapitiwa na wana mambo mengi kama binadamu wengine.

Kuna dripu za watu wenye sukari isiwe tu yenye Sukari/glucose D5,D10 that why kuna history taking na pia kama chronic disease/allergy kama docta hajakuuliza mwambie kabisa.

Sometimes kama hizi google zinaharibu sana kila madr google wengi sana kitaaa ninachoishi
 
Aliwahi kunisimulia rafiki yangu wakati bado mdogo mama yake aliumwa wakampeleka hospital hajitambui, kufika hospitali daktari akasema awekewe drip. Nurse akaandaa drip fulani, rafiki yangu kwasababu anajua mama yake ni diabetic akamkatalia nurse asiweke drip hio ndipo nurse akamuuliza kwanini akamwambia kwasababu mama yangu ana kisukari! Nurse akawa mpole, bila kuhoji yule mama alikuwa anakufa mapema kwa makosa ya nurse.
Kwahio si kila jambo ukubali tu kisa ni mtaalam kasema hata wao huwa wanapitiwa na wana mambo mengi kama binadamu wengine.
Hapo kosa sio la Nurse ni huyo doctor aliesema liletwe drip bila kuwa na full history ya Mgonjwa.
Kitu namba Mbili kivyovyote huyo mgonjwa asingekufa (Based on drip zilizopo hospital) ko usitupange sanaaa

Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
 
Aliwahi kunisimulia rafiki yangu wakati bado mdogo mama yake aliumwa wakampeleka hospital hajitambui, kufika hospitali daktari akasema awekewe drip. Nurse akaandaa drip fulani, rafiki yangu kwasababu anajua mama yake ni diabetic akamkatalia nurse asiweke drip hio ndipo nurse akamuuliza kwanini akamwambia kwasababu mama yangu ana kisukari! Nurse akawa mpole, bila kuhoji yule mama alikuwa anakufa mapema kwa makosa ya nurse.
Kwahio si kila jambo ukubali tu kisa ni mtaalam kasema hata wao huwa wanapitiwa na wana mambo mengi kama binadamu wengine.
Kwahiyo mgonjwa wa diabetic hawekew drip? Usipende kuhitimisha mambo ambayo huna utaalam nayo.
 
Usijifanye wewe ndio una akili pekee, mtu hadi afikie kumpa mgonjwa soda flani ujue wameshauriwa na daktari.
Kwa hii point uko sahihi mkuu.

Umeongelea soda nikakumbuka story ya shoga yangu wa chuo.
Yeye alikuwa akizimia zimia gafla, na akizimia tu soda ya fanta orange ndio pona yake.
Siku moja chuoni kulikuwepo mgomo mwenzetu alifariki so wanachuo vurugu kibao zikatulizwa na mabomu ya machozi.

Nilivyoona hizo vurugu nikaamua kuondoka chuoni kwenda nje ya chuo kwa ndugu yangu, na huyo shoga yangu alokuwa akizimia nikaenda nae, mara hiyo hali ikajitokeza nikaona nguvu zinaishia moyo unaenda mbio hawezi ongea tena. Hapo alikuwa hajaniweka wazi shida yake ni nini na dawa ni ipi.

So tukaanza kimpepea apate hewa huku tunaita tax kwenda hospital, Mara nikaona kama anaaza kufufuka😊 akatamka neno moja tu soda. Chuoni alikuwa na ka friji kale kadogo muda wote zimejaa fanta orange, so alivyosema soda nikazifata nne fasta, alikunywa mbili kuzimaliza tu akaanza kuongea baada ya muda akawa sawa.

Baada ya hiyo hali akaniweka wazi akaniambia siku akizmia nimpe soda kwanza na akanipa na no ya dada yake in case ikitokea shida.

Siku moja akatoka na bf wake huko club na alimficha hakuwahi mwambia shida yake, mara akazimia, niko chuo napigiwa simu saa 8 usiku akaniambi A kazimia kama ana kifafa vile, nikamwambia mpe fanta orange.

kaka wa watu alikuwa ashatetemeka balaa baada ya kumpa soda akawa sawa akamrudisha chuo. na alikuja kumuacha kisa hiyo zimia zimia.
Soda ni dawa😊
 
🤣🤣🤣🤣 nna kaswende ninywe pepsi au coca?
 
Aliwahi kunisimulia rafiki yangu wakati bado mdogo mama yake aliumwa wakampeleka hospital hajitambui, kufika hospitali daktari akasema awekewe drip. Nurse akaandaa drip fulani, rafiki yangu kwasababu anajua mama yake ni diabetic akamkatalia nurse asiweke drip hio ndipo nurse akamuuliza kwanini akamwambia kwasababu mama yangu ana kisukari! Nurse akawa mpole, bila kuhoji yule mama alikuwa anakufa mapema kwa makosa ya nurse.
Kwahio si kila jambo ukubali tu kisa ni mtaalam kasema hata wao huwa wanapitiwa na wana mambo mengi kama binadamu wengine.
Jamny nani kasema watu wenye kisukari hawawekewi drip. Ndo maana kila kazi inamtaalamu ..
 
Kwa hii point uko sahihi mkuu.

Umeongelea soda nikakumbuka story ya shoga yangu wa chuo.
Yeye alikuwa akizimia zimia gafla, na akizimia tu soda ya fanta orange ndio pona yake.
Siku moja chuoni kulikuwepo mgomo mwenzetu alifariki so wanachuo vurugu kibao zikatulizwa na mabomu ya machozi.

Nilivyoona hizo vurugu nikaamua kuondoka chuoni kwenda nje ya chuo kwa ndugu yangu, na huyo shoga yangu alokuwa akizimia nikaenda nae, mara hiyo hali ikajitokeza nikaona nguvu zinaishia moyo unaenda mbio hawezi ongea tena. Hapo alikuwa hajaniweka wazi shida yake ni nini na dawa ni ipi.

So tukaanza kimpepea apate hewa huku tunaita tax kwenda hospital, Mara nikaona kama anaaza kufufuka😊 akatamka neno moja tu soda. Chuoni alikuwa na ka friji kale kadogo muda wote zimejaa fanta orange, so alivyosema soda nikazifata nne fasta, alikunywa mbili kuzimaliza tu akaanza kuongea baada ya muda akawa sawa.

Baada ya hiyo hali akaniweka wazi akaniambia siku akizmia nimpe soda kwanza na akanipa na no ya dada yake in case ikitokea shida.

Siku moja akatoka na bf wake huko club na alimficha hakuwahi mwambia shida yake, mara akazimia, niko chuo napigiwa simu saa 8 usiku akaniambi A kazimia kama ana kifafa vile, nikamwambia mpe fanta orange.

kaka wa watu alikuwa ashatetemeka balaa baada ya kumpa soda akawa sawa akamrudisha chuo. na alikuja kumuacha kisa hiyo zimia zimia.
Soda ni dawa😊
Kwahiyo soda Kwa wengine kinywaji Ila Kwa wengine dawa! Duu kazi kweli kweli,,,,hila huyo jamaa yke alikuwa na haki ya kuogopa maana jela nje nje aisee!
 
Acha kukurupuka kama nyumbu.
Kabla ya kubishana mm nipo kwenye kada ya afya.. cjui ww mkuu.. labda kama maneno yaliotumika hapo hayajaendana ana malengo yangu. Embu fuatilia ugonjwa unaitwa Diabetic ketoacidosis afu tuongee kama ww msomaji mzur
 
Back
Top Bottom