Good news: Diamond athibitisha Wasafi Tower kukamilika 95%

Wagonjwa wanaosaidiwa na diamond, Mashabiki wanaosaidiwa pesa na diamond Wananchi wasiojiweza wanaosaidiwa na diamond yote hamuyaoni aseee,achaneni na ma hisa sijui manini nk,

njooni tu semeni ukweli sio kumponda ponda kijana wa watu kwa mawivu ya kimaandazi yasio na mbele wala nyuma,sio kila anae msifia diamond anakaa kwa dada ake au shemeji ake,wapo wanaosifia kwasababu panahitaji kusifiwa.

Msipo msifia leo mnataka mumsifie akifa? mifano hai ya huyu kijana akifanya vitu vya kuonyesha na kugusa jamii ni vingi,adanganye asidanganye wewe unaemponda Hudanganyagi? kuna watu hii dunia mna wivu na chuki sijawahi ONA.
 
Kabisa mzee
 
Hii mentality ya kusaidiwa saidiwa inaboa sana na mpaka wanasiasa wame capitalise sana kwenye hii kitu.

Binafsi sidhani kama watanzania ni watu wa kupenda kusaidiwa saidiwa kama maiti.

Wanahitaji tu kupewa au kufurahia matunda ya jasho lao. Period
 
Hata Mimi naweza kusimama jukwaani nikasema namiliki Hotel ya nyota 5 kumbe nyuma ya pazia Hotel ni ya watu wanaokwepa mkono wa serikali wananitumia
Ila siyo mbele ya Mkuu wa nchi kama alivyo Fanya diamond mbeya
 
Mimi naongea fact wewe inaleta propaganda
Ungeonesha ushahidi unaonesha Ni uongo ningekuunga mkono nilichokiona wewe unaongea kihisia zaidi una tofauti na wale ambao wanaamini ukiwa tajiri basi lazima utakuwa Freemason au muuza ngada
 
Clouds wamepanga kwa nani? Huwa data unapata wapi jeuri ya kubwabwaja hovyo?
 
Hivi lile Rolls Roys limefikia wapi?
Hiyo Hotel yake ya Nyota 5 inajulikana kwa jina gani ? Na ipo wapi?
Halafu wacheni kiki za kijinga basi
 
Sio kweli. Ssnasana Remmy Ongara . Wengine walihishia Nairobi na band ya watu 10
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…