Good news: Diamond athibitisha Wasafi Tower kukamilika 95%

Wagonjwa wanaosaidiwa na diamond, Mashabiki wanaosaidiwa pesa na diamond Wananchi wasiojiweza wanaosaidiwa na diamond yote hamuyaoni aseee,achaneni na ma hisa sijui manini nk,

njooni tu semeni ukweli sio kumponda ponda kijana wa watu kwa mawivu ya kimaandazi yasio na mbele wala nyuma,sio kila anae msifia diamond anakaa kwa dada ake au shemeji ake,wapo wanaosifia kwasababu panahitaji kusifiwa.

Msipo msifia leo mnataka mumsifie akifa? mifano hai ya huyu kijana akifanya vitu vya kuonyesha na kugusa jamii ni vingi,adanganye asidanganye wewe unaemponda Hudanganyagi? kuna watu hii dunia mna wivu na chuki sijawahi ONA.
 
Kabisa mzee
 
Hii mentality ya kusaidiwa saidiwa inaboa sana na mpaka wanasiasa wame capitalise sana kwenye hii kitu.

Binafsi sidhani kama watanzania ni watu wa kupenda kusaidiwa saidiwa kama maiti.

Wanahitaji tu kupewa au kufurahia matunda ya jasho lao. Period
 
Mimi naongea fact wewe inaleta propaganda
Ungeonesha ushahidi unaonesha Ni uongo ningekuunga mkono nilichokiona wewe unaongea kihisia zaidi una tofauti na wale ambao wanaamini ukiwa tajiri basi lazima utakuwa Freemason au muuza ngada
 
Clouds wamepanga kwa nani? Huwa data unapata wapi jeuri ya kubwabwaja hovyo?
 
images (3).jpeg
 
Hivi lile Rolls Roys limefikia wapi?
Hiyo Hotel yake ya Nyota 5 inajulikana kwa jina gani ? Na ipo wapi?
Halafu wacheni kiki za kijinga basi
 
haya masystem ya kutanguliza watu maharufu kwenye miradi mikubwa wanatumia sana wanasiasa na Mafia groups duniani kote!!
mifano ipo Mingi...hapa Tanzania unashangaa mfano Masanja Mkandamizaji in few years anamiliki mali zenye thamani ya mabilioni,wakati kina marehem Majuto,mzee Small n.k wamekufa hoeae masikini wa kutupwa japo wamechekesha jamii ya kitanzania for decades!! Erick Omond,Churchil ,Klint the drunkard wa Nigeria anafanya show nyingi na ni maharufu na Nigeria ina watu wengi wanaoangalia comedy lakini yeye na hawa wa Kenya wana utajiri wa kawaida!! Joti au Mpoki wana wapenzi wengi na wanafanya vizuri kuliko Masanja!! ila Masanja kawapita kwa mali...je ni mchele wa Ubaruku tu???na Kulala juu ya mafyover[emoji1787][emoji1787]
Wanamziki kama Wale Wa Njenje,Sikinde,Kila late Remy Ongala,Moshi William Hamza Kalala na Wengine wameimba mziki ndani na nje ya Tanzania..Wengi wao wamefariki ata nyumba ya chumba kimoja awana.Diamond Baba ake mzazi mpaka leo hii anauza viatu vya mtumba anavyonunua pale Karume! aingii akikini mtu mwenye background kama yake na ukizingatia piracy ya music/movie za Kitanzania awe na pesa na mali ambazo anaonyesha kwenye social media...Ila ata last akuna siri chini ya jua...ipo siku all will be revealed
Sio kweli. Ssnasana Remmy Ongara . Wengine walihishia Nairobi na band ya watu 10
 
Back
Top Bottom